johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,131
Desderi imebomolewa kwani au ilibomolewa ?Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja
Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.
Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana
Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Jiwe alikuwa mshamba, katiri, taihara ,mjinga na roho mbayaYapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja
Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.
Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana
Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Na watu walikuwa wanaona sawaAwamu ya 5 mkuu wa mkoa alikuwa anapiga fitna CRDB wakampige pini Sugu kisa mkopo wa Hoteli yake
Mbona sasa umeweka Mada mbili tofauti??Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja
Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.
Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana
Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Kwani kwa mwamposa ndio kwa Yesu??Yapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja
Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.
Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana
Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Na hao watu bado wapo.... na ipo siku watarudi madarakani, tuwe makini sana.Na watu walikuwa wanaona sawa
Dikteta bora alikufa aseeYapendeza sana kukaa pamoja tena kwa Umoja
Siasa siyo uadui bali tofauti ya mitazamo kiitikadi tu.
Nilibarikiwa na Sikukuu ya Sugu pale Serena jana
Yule RC aliyebomoa Desderia hotel juzi alikuwa kwa Mtume Mwamposya akiombewa pale Mlandege Iringa
Ukweli Samia ni binadamu kidogo aliharibu tu kwa MboweAwamu ya 5 ilikuwa ya SHETANI. Imagine wale waliotaka kumuombea Lissu baada ya kupigwa risasi huku wamevaa T-shirt walivyotimuliwa.
Asante Samia kwa kutuliza nchi
Tanzania ya upendo sn hiiAsilimia kubwa ya binadamu hupenda gugombana ,kutesana ,kuoneana,kuona wengine wanaumia,wanalia,na hizi ndiyo zilikuwa siasa za Magufuri na wapambe zake.Ahsante sana Mama kwa kuturudisha kwenye upendo,mengine tutakusamehe wewe ni binadamu