Awamu hii ya JK inaweza kuweka historia ya karne ktk taifa la Tanzania.

Nairobifly

Member
May 3, 2012
75
26
Wadau kwa jinsi mambo yanavyo kwenda ktk awamu hii ya nne ya uongozi wa mh.JK inaweza tokea historia ya karne ktk nchi hii. Nasema hivyo kwa sababu ya mambo makuu mawili. 1.Wapinzani kuchukua nchi, hii ni kutokana na speed kali ya Cdm na watu wengi kufunguka. R.i.p chama changu Ccm. 2.Muungano kuvinjikia mikononi mwa Jk, hili nalo ni kwa sababu ya kasi ya ajabu wanalokujanalo uamsho ktk kudai uhuru wa zanzibar. Je wandugu hili ninyi mnaliona vp? Mungu ibariki Tanzania.
 
Ni sawa ndugu, nitakukumbuka yakitokea hayo. Pole sn, 4 real chama chako kwisha habari.
 
La kwanza sawa ila hilo lapili nisingependa litokee.Mungu ibariki Tanzania
 
RIP MCC. Shetani amekupenda zaidi, ni mwisho wa kutufisadi siye waja wako watz maskini
 
Muungano utavunjika na CCM itatolewa, lakini si katika muhula wa JK, ingawa utawala wa JK utachangia kwa kiasi kikubwa hayo.
 
Sasa ipi itawauma sana kati ya kuvunjika kwa muungano au CHADEMA kuchukua nchi?
Binafsi mimi kama mzalendo wa jamhuri ya muungano na mfuasi wa sisiem nisingependa yote hayo yatokee. Lakini nifanye nini km tunaelekea huko? Inabidi ning'ate meno tu.
 
Back
Top Bottom