Avril: Kenyan Musician and Model

Mhh tupe facts,wanaume wangapi walikiri ...mana hashtui hata
 
Huyu demu yupo katik series moja ya kenya yaitwa shuga yupo kawaid tu ...hizo kwa picha ni uchawi wa kamera na make up....wanaume wenyew ndo sisi tunasema hatumtaman...ka vip weka thread wadau wafunguk uone msanii gan EA anavutia watu..kama atakuw na list kubwa ya wanao mkubali
 
tupe source ya hao wanaume waliokiri kumtamani. Usidanganyike na picha zilizofanyiwa editing.
 
HUYO mbona hata Masogange yuko juu. Sema labda masogange hana exposure ya kwenye midia.
 
Izi camera zinachanganya watu eeeh..!!!

She s fine.cjakataa
but not to the extend kama ilivyorushwa. When you talk of the beuty.angalia uhalisia but sio kwa pic ambayo imefanyiwa editn.
Hapo ndipo wabongo wanapokosea.
Check first pic and last one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…