AVN number kutoka Nactvet

AVN number kutoka Nactvet

khmbrzy

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
13
Reaction score
11
Habari nduguzangu,

Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo namba ilipotea na aliyenisajiria hayupo.

Je, nauliza kuna uwezekano wa mimi kupata msaada wa ku recover account yangu ili niweze kupata AVN?

Na je njia gani nitumie ili kusaidiwa?
 
Wanakuja wataalam hapa
 
Nenda ofisi za nacte kaandike barua wafute Account yako ya zamani then ufungue mpya uombe AVN yako itarudi
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nimehitimu diploma lakini form four Nina pass tatu Pekee (yaani Kiswahili C, English C na histori C,) form six nna division 3 ya 14 na diploma nna GPA ya 3.2 nimejaribu kuomba AVN mfumo unataka niongeze pass nyingine ili ziwe nne je ishu ya AVN kwenye ajira za serikali inaweza kuwa kikwazo pia Mana cheti transcripti vyote ninavyo Samahani mnao jua naombeni ufafanuzi
 
AVN inatumika ku verify matokeo yako kama unataka kurudi shule lakink kwenye ajira haina impacy
 
Back
Top Bottom