Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Mh Rais; Biashara Asubuhi kama Azam na Mtibwa wafanyavyo, kwa mwendo huu Ubingwa tutausikia tu Aveva, hebu tazama hii Mh Rais na ujue tunavyoumia, nasikitika kwamba Wapenzi wa Simba hukata tamaa mapema hivyo usishangae kuona mapato yakipungua pia.............View attachment 189215
wasiwasi ndio umenitanda kwenye jakamoyo ikiwa tutatoa doo na stendi tena puuuuuuuuuuuuKama aliahidi mechi tatu point tatu, nadhani anaendelea vizuri kwa sababu hadi sasa mechi mbili point 2, nadhani hii ijayo ya Stand United atatimiza ahadi yake. Yetu macho na masikio.
tulidhani anaahidi goli sita kuichapa Yanga
tulidhani anaahidi goli sita kuichapa Yanga
tulidhani anaahidi goli sita kuichapa Yanga
utanipngezea kitu tar. 18
Hata hivyo mkuu cnjona mbona kwa timu ya simba ya msimu huu hakuna beki wa kumkaba coutinho.....hiyo siku utatamani mpira uishe kabla ya dk.15 kwa hofu..maana mabeki wenu watamkaba COUTINHO na JAJA huku NGASA na MSUVA wakitupia kiulainiiiiiii...
Mh Rais; Biashara Asubuhi kama Azam na Mtibwa wafanyavyo, kwa mwendo huu Ubingwa tutausikia tu Aveva, hebu tazama hii Mh Rais na ujue tunavyoumia, nasikitika kwamba Wapenzi wa Simba hukata tamaa mapema hivyo usishangae kuona mapato yakipungua pia.............View attachment 189215
Kama alijua hilo kuwa mwenyekiti hahusiani na matokeo ya uwanjani mbona alinyosha vidole sita kwa kumaanisha kuwa mechi 3 kwa points 3???????????????????????????Kwani alikua anagombea ukocha.?Mwenyekiti wapi na Wapi na matokeo ya uwanjani.?