Usibadilishe Carmel waache waendelee kuumia na huo mgongo watajiju kama wamekuja kuangalia avatar hapa JF au kuwa great thinkers na kutoa points
kwani haiwezekani MKUU MUHASIBU?
Nimemhurumia esp Geof, maana ndoa yake bado changa na anasema nilikuwa namfanya anatenda dhambi. nikaona mmh, kijana harus tuchangie wenyewe halafu tumkwaze?🙄
mwnzangu watu wanataka kunitoa macho huku kwenye pm lol! mie mke wa mtu siuzi! am not available at all. kuna kufuli😀
osmosis:dmimba niipatie kwenye keyboard? Kwa njia gani? Diffusion au through rays?
Hii kazi naona haikufai.itabidi utafute ujasiriamali mwingine.Kuna fundi Tv alishaniibia deki yangu used.viswahili kibao ,mpaka akatoweka nayo.
heeee! sasa hapa unataka kutufurahisha.Kwa niaba ya wadada na wamama wote humu ndani;we are not that stupid! unless otherwise mtu ajue anafanya nini mwenyewe.We mdanganye mwenzio tu! Akipata mimba utamsaidia kulea?
Haiwezekani kabisa kabisa kabisa nakataa
Mi ni mmkweli, kwani hujaona duka langu shemeji>>? wakati unafungua hardware mi ndo nikona kaduka ka electronics😀
MAU = Married and Unavailable
mimba niipatie kwenye keyboard? kwa njia gani? diffusion au through rays?
Haya nimekubali,na huu ushemeji ushaidhinishwa?
si unajua tena na mambo ya manyoya? mmh, sirudii tena. Mi and my awkward mind, lol!Hayo mamjamaa yakiona kwenye PM hayafanikiwi, yanafanya the needful kwenye avatar kwa screen!~ Sasa thruu imani zao sijui za nini Carmel anaweza pata ujauzito wa njemba tano kwa wakati mmoja.
wewe mchokozi lakini.haya bana shemeji.Lisemwalo lipo lakini.......................dah, ngoja nikaedit shemeji....nimejisahau mwenzio!😀
Afu na haka sijui kalikuwa wapi? hebu twambie hako ka-avatar kako ushakula PMs ngapi mwezi huu?
hahahahahaa.manyoya tena? duu.bac wengi tungekuwa na vitumbo throughout the yia!si unajua tena na mambo ya manyoya? mmh, sirudii tena. Mi and my awkward mind, lol!
Booked!
Unajua tatizo lako lilipo? avatar yako imekaa kikatuni sana.watu wanadhani mtoto na wanaogopa ufataki.Weka ya kimisi zaidi.Sijapata PMs kihivyo sijui big braza unaniekea kamkono hapo???? nabadilisha nieke inayoappeal zaidi halafu nione kama nitapata PMs nyingi au unasemaje????