Avatar

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu wote. Je Avatar ninayotumia sasa ina tatizo lolote au niendelee nayo tu. Nauliza hivi kwa kuwa kuna watu watatu tayari wameni-pm kuwa nibadilishe naomba maoni ya wadau

Funza
 
Inashtua kidogo, ukiangalia kwa juu juu, utadhani ni.............aliyeinama upande, nikadhani unaomba ban ili upumzike kidogo, lakini kama ni baunsa endelea nayo.
 
Hahahaha......! Assuming that everyone who may visit this forum is a Great Thinker, then there is no a problem, but because the visit of the forum is not limited to Great Thinkers only, then you may be required to think twice....! Otherwise, only Great Thinkers may understand your avatar....!
 
Wasiwasi wangu moderator anaweza kushindwa kuielewa akanipiga BAN wakati mimi kupigwa BAN sitaki ila hiyo avatar naipenda
 
Basi jaribu kubadilisha kiuno, mkono na kichwa vionekane vizuri, then ufiche kifua na bega....!
 
Opposite yake ni nzuri zaidi, iweke hiyo. Japo inamfanya mtu atoe miwani na kutumia akili ya ziada kuielewa.
 
ni vema kuibadili, kwani makalio ndio yanaonekana kwa sana, baunsa hadi mtu uangalie kwa umakini
 
Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu wote. Je Avatar ninayotumia sasa ina tatizo lolote au niendelee nayo tu. Nauliza hivi kwa kuwa kuna watu watatu tayari wameni-pm kuwa nibadilishe naomba maoni ya wadau

Funza
Wewe unaonaje kama wewe ni funzadume??
 
Back
Top Bottom