Avatar zenye kuleta utata,muulize muhusika.

Mapenzi ya jf bwana ona sasa Archduke na Madame S nimejikuta nimecheka sana, Sesten Zakazaka ndo alikuwa anawaombea kila siku.

Ha ha ha ha niko hoi kwa kicheko halafu archduke kabla ya madame alikuwa na mwingine humu.
una tatizo na sisi? Imekuuma me kua hivo au?? Means unatufuatilia sana keep it up

Halafu utambue me ni binadam wa kawaida kabisa si malaika of course ni define vyovyite utakavyoweza nitakipokea nikuulize tu swali umedate na wangapi till now? Sasa why kama unaniyooshea kidole hivi? Natumia bando ako? Nimedate na mmoja wa kaka zako humu labda ukaumia sana? Pls hii platform n kubwa ingependeza sana kama ungedili na njia zako nahisi sjawah kuweka pua yangu kwenye maisha yako sasa naomba iwe the same and yes as i told u nina hisia kama mwanamke aliekamilika ukiona kitu hakijakua vile inapaswa kua elewa si riziki na kile kinachokua vile inafaa ndio riziki na majaaliwa yako

Nimependa kuona kuna watu wanafatilia wenzao kwa kweli skuwa aware sanaaa

Hata hivo kama kuna nilipokukwaza unisamehe bure.
 
Nimekuelewa madame.

Ila nimecheka sana sina nia ya kukucheka, ila nimecheka tu mambo ya humu yanafurahisha.

Sikukuu njema.
una tatizo na sisi? Imekuuma me kua hivo au?? Means unatufuatilia sana keep it up

Halafu utambue me ni binadam wa kawaida kabisa si malaika of course ni define vyovyite utakavyoweza nitakipokea nikuulize tu swali umedate na wangapi till now? Sasa why kama unaniyooshea kidole hivi? Natumia bando ako? Nimedate na mmoja wa kaka zako humu labda ukaumia sana? Pls hii platform n kubwa ingependeza sana kama ungedili na njia zako nahisi sjawah kuweka pua yangu kwenye maisha yako sasa naomba iwe the same and yes as i told u nina hisia kama mwanamke aliekamilika ukiona kitu hakijakua vile inapaswa kua elewa si riziki na kile kinachokua vile inafaa ndio riziki na majaaliwa yako

Nimependa kuona kuna watu wanafatilia wenzao kwa kweli skuwa aware sanaaa

Hata hivo kama kuna nilipokukwaza unisamehe bure.
 
simfahamu ila nlivutiwa na picha hiyo nilivyoona afisa halafu ni komando
Oh, Nimekusomaa mkuu! Jamaa alipata ajali mwakajana dodoma wakati kikosi Cha komando kilipokuwa kinajiandaa kwaajili ya maadhimisho ya sherehee za Uhuru 9/12!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom