Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,487
Avatar yangu hamuioni au dharau ?
hahhahahaa mie ndo naiona leo sijawah izoom.hababahha 😂😂😂😂
Avatar yangu hamuioni au dharau ?
nipo hapa nakuangalia tu hahahaVipi joseverest?
Lol.... umependa lips zangu eeeh shemeji??avatar ya Mzigua90 zile lips za mambo fulani hivi
Hawezi kunitaka jamaniBaada ya kumla madam s sasa hivi unamtaka mzigua!
Si kawaida tu kuachana mama kinachochekesha nini sasa hapo?Mapenzi ya jf bwana ona sasa Archduke na Madame S nimejikuta nimecheka sana, Sesten Zakazaka ndo alikuwa anawaombea kila siku.
Ha ha ha ha niko hoi kwa kicheko halafu archduke kabla ya madame alikuwa na mwingine humu.
Rafiki rudisha ile avatar iliyokuweka top 3!
Heri ya Mwaka Mpya babe wangu.
Shemejizone layer activated.
na kwanini nizichukie shemeji wakati hazijui kutamka maneno mabaya
Kwan kipi kinawatesa??