Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,097
- 34,913
"Kwa bahati wakati wanataka kuiba mwenye nyumba aliwaona akapiga kelele za mwizi wananchi wakatoka na silaha za jadi, yule kijana akawa anakimbilia kanisani, alipofikia kiwanjani kabla hajaingia ndani wakamkamata, wakampiga na kumuua," alisema shuhuda huyo.
Nimeleta hii topic nikajuwa nitapata wapinzani ndio maana nikaleta hiyo Topic hivi ni kweli Mtu anauliwa nje ya Eneo la Takatifu la Kanisa na Waumini wanaona anavyouliwa wanashindwa hata kumuokowa? hivyo ndivyo Alivyofundisha Bwana wetu Yesu Kristo?Binadamu anauliwa na watu wabaya nyie Waumini mnaangalia kwa Macho pasipo kumuokowa? na Uongozi wa kanisa unaangalia tu waumini na Wachungaji? Inasikitisha sana hata akiwa ametenda kosa sio haki auliwe kuna Seriakali na wanaohusika kama Polisi na Mahakama ndio wanayo haki ya kumchukulia hatuwa Sio Rai wa nchi hivyo tutaendelea jamani? inasikitisha sana.MIAFRIKA BWANA HIVYO NDIVYO ILIVYO.

Ndugu wapi inaonyesha kuwa wakati anauliwa huo uongozi unaousema wewe ulikuwepo na ukashindwa kumuokoa?
Uelewe kanisani siyo mahali watu wanashinda kutwa bila kufanya kazi zao.