Yeah.. But if kilimo ndo ajira yako haiwez kuwa shida ...unaweza tu mkuu hii inaweza kukwamua sector...wazungu hizi idea wanazo but hawana mashamba wangekua nayo tungesha uziwa maharage muda sanaDuh,, Mzee hiyo agriculture iko more sophisticated na iko poa pia., Lkn thatha Mtu mfano wa Kolomije huko anaweza mudu operation cost za izo drones kweli licha ya Initial cost za kununulia??
Bila shaka izo ni kwa ajili ya mashamba makubwa mno ya wakulima wakubwa ila sio sisi waganga njaa wa huku kwetu Kolomije..!!
Kuunda drones ni rahisi sawa na motor ...sema hizi ideas kwa Tz engineers ndio very rarelyDuh,, Mzee hiyo agriculture iko more sophisticated na iko poa pia., Lkn thatha Mtu mfano wa Kolomije huko anaweza mudu operation cost za izo drones kweli licha ya Initial cost za kununulia??
Bila shaka izo ni kwa ajili ya mashamba makubwa mno ya wakulima wakubwa ila sio sisi waganga njaa wa huku kwetu Kolomije..!!
Kuunda drones ni rahisi sawa na motor ...sema hizi ideas kwa Tz engineers ndio very rarely
Hapo wananiachaga hoi...mpaka serikali inachukua ma IT rwanda that means computer scientist wakwetu hawajui ku code?
Wa kwetu huwa ni maintainers sanasana., Wakiendaga vyuoni wanafundishwa kunywa vitini sio kubuni..!!
That's why ni vigumu ma engineers wa kwetu kuapply kazi abroad maana kule skills na talent inahitajika sio vitini...labda achukuliwe tu even for low salary
Wa kwetu huwa ni maintainers sanasana., Wakiendaga vyuoni wanafundishwa kunywa vitini sio kubuni..!!
Hapo wananiachaga hoi...mpaka serikali inachukua ma IT rwanda that means computer scientist wakwetu hawajui ku code?
Hahaha inabidi tubadilike hasa mtindo wa CoET na CoICT sio mzuri...UD ingekuwa na labs kubwa ambazo engineer akimalza pamoja na training bas anaweza compete sasa habri ya pastpapers yan kabla pepa halijaja bas washajua panapotoka...haya mazoea yanaua talent na thinking capacity
Wapo kibao wamejazana UD hasa hao wa C. Science na kujiita chuo kikuu bora Africa.,, Lkn wanatoka maboko ajabu bora hata product za vyuo vya certificate na diploma.,,!!
Kuna dada nishawahi mwambia anitengenezee Website akasema alivokua mwaka wa mwisho ali specialize sjui madudu gani ?? Nikamwambia Asante kwa Muda wako Mrembo tukutane club gan mamaa tupoteze muda weekend.,, Mama yangu nlitajiwa chocho izo mia kidogo..!! Nikasema kumbe sku hiz magraduate ni mastripers
Hahaha inabidi tubadilike hasa mtindo wa CoET na CoICT sio mzuri...UD ingekuwa na labs kubwa ambazo engineer akimalza pamoja na training bas anaweza compete sasa habri ya pastpapers yan kabla pepa halijaja bas washajua panapotoka...haya mazoea yanaua talent na thinking capacity
Hii nzuri sana ...nchi nyingi eg singapore zimepiga hatua kitech kisa VETA sasa sisi tunawadharau sana veta...VETA na Techies wa singapore ndo wanao tengeneza Luku meter za tanesco...tukiendelea hivi tutafika.
But wagraduate wa vyuo vya ufundi wanajitahd kidogo walau sku izi naona wamebuni mashine za mpaka kufukuzia ndege shambani., Zipo kama small drones zinazunguka zinatoa sauti kali sana., Nikawapa dole..!!
Hahahahaha umenichekesha sana mkuu...Rungwe juurungwe alituahidi hizo drones tukamwona mjinga
Mkuu project ikiwa vzur na jwa vile ni habar za kilimo benki haziwez kusita mikopoTatizo na pesa.
Hhhh asalale...Unapoona chuo kinatoa muhandisi, wa vitini, ujue kimewekeza kwenye vitini.
Kabla ya project kuwa nzuri nyuma yake kuna watu wanaofanya project iwe nzuri, hawa watu hawashushwi mbinguni wameandaliwa vizuri, maandalizi haya mazuri yanataka miundombinu mizuri, miundombinu mizuri inataka uwekezaji wa pesa. Hapo ndipo nimelenga kwa hiyo unaweza kujioenea mlolongo wa kupata project nzuri unaanzia wapi.Mkuu project ikiwa vzur na jwa vile ni habar za kilimo benki haziwez kusita mikopo
Yeah nimekupata mkuuKabla ya project kuwa nzuri nyuma yake kuna watu wanaofanya project iwe nzuri, hawa watu hawashushwi mbinguni wameandaliwa vizuri, maandalizi haya mazuri yanataka miundombinu mizuri, miundombinu mizuri inataka uwekezaji wa pesa. Hapo ndipo nimelenga kwa hiyo unaweza kujioenea mlolongo wa kupata project nzuri unaanzia wapi.