Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,207
- 8,448
Habari za muda huu Wanajamvi, Nauliza je kuna authorized dealer wa simu za Google pixel natamani kuchukua Pixel 6a brand new je zinapatikana mpya kabisa?
Mkuu chukua huku Nairobi kwa authorized dealersHabari za muda huu Wanajamvi, Nauliza je kuna authorized dealer wa simu za Google pixel natamani kuchukua Pixel 6a brand new je zinapatikana mpya kabisa?
Sawa ntachek nao mkuuHakuna tanzania. Jaribu kuwacheki, phonepoint mtaaa wa samora wao wanakuwa na brand new na used. Yangu pixel 7 pro nilichukua kwao
Sawa mkuuMkuu chukua huku Nairobi kwa authorized dealers
Kuna shop unapata na 860,000Tshs Google Pixel 6a (6GB ,128GB)Sawa mkuu
Yapo maeneo gani?Hayupo mkuu ila nenda maduka ya wahindi zipo brand new.
Posta postaYapo maeneo gani?
Agiza onlineNina pixel 4xl imekufa kioo bei zake anayejua tafadhali
Screen ya pixel 4xl kwa hapa maduka ya Nairobi bei yake ni around 150,000Tshs hadi 160,000Tshs so hadi ikufikie Dar es salaam itakua 210,000TshsNina pixel 4xl imekufa kioo bei zake anayejua tafadhali
Duh hii niachane nayo tu mbombo ngafuScreen ya pixel 4xl kwa hapa maduka ya Nairobi bei yake ni around 150,000Tshs hadi 160,000Tshs so hadi ikufikie Dar es salaam itakua 210,000Tshs
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Niuzie hiyo nimalizie mkuu,Duh hii niachane nayo tu mbombo ngafu
Niuzie hiyo nimalizie mkuu,
Hakuna tanzania. Jaribu kuwacheki, phonepoint mtaaa wa samora wao wanakuwa na brand new na used. Yangu pixel 7 pro nilichukua kwao
Brand new?Kuna shop unapata na 860,000Tshs Google Pixel 6a (6GB ,128GB)
Brand new?