Austria yapata shambulio la kigaidi

Austria yapata shambulio la kigaidi

Status
Not open for further replies.
Sasa nyie mbona mnasema yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zenu?.
Thawabu mnapewa za nini?
Yesu alikufa tukapata wokovu sio thawabu, ndio maana nilikuuliza unajua maana ya thawabu?

Katika Uislam wako thawabu ni nini? Kwasababu inawezekana hata tofauti ya thawabu, zawadi na Neema hujui. They are different terminologies

Thawabu ni nini katika Uislam? Mnaipataje?
 
Hauwezi kuutaja UGAIDI bila kumtaja mmarekani.
ni sawa na kunywa chai bila sukari .
wewe ndo huwezi kwasababu umezama kwenye dimbwi la propaganda za masheikh wa pakistan

ila ubaya/uzuri mnapenda stori tu hampendi kudiscuss facts na mkiombwa ushahidi mnakimbia kama mwizi kaona difenda
 
Thawabu ni malipo ya wanaotenda mema.
Na dhambi NI malipo ya wanaotenda Maovu.
Sasa unaponiambia kuwa wakristo na nyie mna thawabu maana yake pia MNA DHAMBIII maana KINYUME CHA THAWABU NI DHAMBI.
Yesu alikufa tukapata wokovu sio thawabu, ndio maana nilikuuliza unajua maana ya thawabu?

Katika Uislam wako thawabu ni nini? Kwasababu inawezekana hata tofauti ya thawabu, zawadi na Neema hujui. They are different terminologies

Thawabu ni nini katika Uislam? Mnaipataje?
 
UGAIDI umeanzishwa na marekani ili mradi azidi kuwatawala waarabu,kuwagawa ili wasiungane na kushika uchumi wa dunia
wewe ndo huwezi kwasababu umezama kwenye dimbwi la propaganda za masheikh wa pakistan

ila ubaya/uzuri mnapenda stori tu hampendi kudiscuss facts na mkiombwa ushahidi mnakimbia kama mwizi kaona difenda
 
Thawabu ni malipo ya wanaotenda mema.
Na dhambi NI malipo ya wanaotenda Maovu.
Sasa unaponiambia kuwa wakristo na nyie mna thawabu maana yake pia MNA DHAMBIII maana KINYUME CHA THAWABU NI DHAMBI.
Kwani mtu hawezi kuwa hana dhambi na akapata thawabu? Na je thawabu wanapewa wenye dhambi tu?
 
Jamii wa waislamu ni ngumu sana kuishi na jamii nyingine kusiwepo na matatizo.

Waislamu wakikaa mahala wanataka wao utamaduni wao ndio ufuatwe, wao wachinje, wao sijui wafanyeje, usimseme mungu wao vibaya, usifanye hiki, kile eti utawakwaza, wako easily tempered.

Wanakimbia kwao huko wanaenda ulaya ambako dini sio ishu ya maana kwao wanataka wakaishi wanavyotaka wao, haiwezekani. Mrudi mkauane huko kwenu.

Waislamu wenyewe washia na wasuni hawawezi kuiva chungu kimoja sembuse kwenda kwenye jamii nyingine.
 
Thawabu ni malipo ya wanaotenda mema.
Na dhambi NI malipo ya wanaotenda Maovu.
Sasa unaponiambia kuwa wakristo na nyie mna thawabu maana yake pia MNA DHAMBIII maana KINYUME CHA THAWABU NI DHAMBI.
Sasa aliyekuambia Wakristo hawana dhambi ni nani?

Kwani wakristo ni malaika?

Una uelewa kweli?
 
Kumbe anayesema yesu alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zenu ni muongo.
Ahasante nimejifunza kitu kipya
Sasa aliyekuambia Wakristo hawana dhambi ni nani?

Kwani wakristo ni malaika?

Una uelewa kweli?
 
Muwe mnatoa pole na Iraq, Syria Afghanistan na parestina pia .
Nao NI watu Kama walivyo hao waaustria
Hao hujilipua wenyewe kwa wenyewe, Austria ni tofauti kwa sababu mshambuliaji ni mhamiaji, wenyewe hawana mazoea na tabia za namna hiyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom