Australian Prime Minister does it again!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Australian Prime Minister does it again!!

Discussion in 'International Forum' started by NGULI, Dec 7, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This should be a world wide rule. If you want to move to any country and become part of that country...WELCOME, But if want to change anything in that new country you wish to live in ...GOODBYE

  It took a lot of courage for this man to speak what he had to say for the world to hear. The retribution could be phenomenal, but at least he was willing to take a stand on his and Austrilia's beliefs. Yes, allow those that want to come, to come. But understand that if you want to go to a country not of your birth, you should expect to live by their rules and respect their ways of life. This doesn't mean you have to give up yours. I think he explains it very well.  Whole world Needs A Leader Like This!


  Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..


  Separately, Rudd angered some Australian Muslims on Wednesday by saying he supported spy agencies monitoring the nation's mosques.

  Quote:

  'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture. Since the terrorist attacks on Bali , we have experienced a surge in patriotism by the majority of Australians.. '

  'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'

  'We speak mainly ENGLISH, not Spanish, Lebanese, Arabic, Chinese, Japanese, Russian, or any other language. Therefore, if you wish to become part of our society . Learn the language!'

  'Most Australians believe in God. This is not some Christian, right wing, political push, but a fact, because Christian men and women, on Christian principles, founded this nation, and this is clearly documented. It is certainly appropriate to display it on the walls of our schools. If God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'

  'We will accept your beliefs, and will not question why. All we ask is that you accept ours, and live in harmony and peaceful enjoyment with us..'

  'This is OUR COUNTRY, OUR LAND, and OUR LIFESTYLE, and we will allow you every opportunity to enjoy all this. But once you are done complaining, whining, and griping about Our Flag, Our Pledge, Our Christian beliefs, or Our Way of Life, I highly encourage you take advantage of one other great Australian freedom, 'THE RIGHT TO LEAVE'.'


  'If you aren't happy here then LEAVE. We didn't force you to come here. You asked to be here. So accept the country YOU accepted.'
   

  Attached Files:

  • PM.JPG
   PM.JPG
   File size:
   87.9 KB
   Views:
   40
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mpwa umebandika kama Mh Mo Dewji Mb wa CCM Singida, hujaweka source! Jamaa wa Antiplagiarim watakugawana muda si mrefu!
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  source ni MZENJI kanifowadia. Na yeye hakuweka source.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Heheh heheheh Mzenj kawaje tena yakhe.......mwambie nasubiri urojo next week!
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  [​IMG]urojo[​IMG][​IMG] lazima upate kwa mwendo huu hata bila kuomba utapata, nasikia airport siku hizi wanaiba sana bora wakuibie kila kitu ila sio begi la kutoa kitambi.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haogopi fwata huyu?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hahahaha hawataweza maana itakuwa kwenye hand luggage na ulinzi wake ni wa group 4 ama ni ultimate security!
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ukiona mtu kaongea hivi ujue aa hasira sana
  waondoke kama hawataki kufata sheria za nchi
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Safi sana bwana Waziri mkuu. They don't make 'em like you anymore....
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,534
  Likes Received: 81,954
  Trophy Points: 280
  Hawa viongozi wa nchi za “dunia ya kwanza” ni wanafiki sana. Wamegundua weak point ya kushambulia sasa wanataka kuishambulia kila kukicha ili waonekane ni Viongozi wazuri miongoni mwa wananchi wao. Viongozi hawa hawa wanakuwa mabubu katika kukemea mapadri wanaowalawiti wale altar boys katika nyingi ya nchi hizi na mapadri husika hawachukuliwi hatua zozote za kisheria ambazo huchukuliwa dhidi ya wakosaji wanaowaingilia watoto kwa njia hiyo.

  Baadhi ya viongozi hufikiria pia kuwalazimisha wahamiaji waachane na culture zao walizotoka nazo makwao ili wafuate culture za nchi zao mpya. Kama kawaida yao bado wanaona culture za kutoka nchi tofauti ni za “kishenzi” isipokuwa za kwao tu ndizo za “kiungwana” wahamiaji wanalipinga sana hili la kuachana na tamaduni zao, sasa wameona weak point ni kuishambulia sharia law

  Jana nilikuwa naangalia kipindi CNN kuhusiana na mauaji ya kutisha yanayofanywa na mateenagers weusi katika jiji la Chicago. Waliitwa viongozi mbali mbali wa dini ambao wengi wao waliona kuna umuhimu wa kuparticipate katika maisha ya watoto hawa tangu wakiwa wadogo. Cha kustajaabisha katika nchi hizi za “dunia ya kwanza” wazazi wamenyang’anganywa uhuru wao wa kuwaadabisha watoto wao pale wanapofanya makosa. Ukionekana unamchapa mwanao na jirani na kukureport basi unaweza kabisa kunyang’anywa watoto au watoto wakipiga simu polisi na kuwashtaki wazazi kwamba wanawanyanyasa basi wazazi pia wanaweza kunyang’anywa watoto hao. Wakati huo huo katika nyingi ya nchi hizi wameanza kufikiria kuweka sheria za kuwachukulia hatua wazazi pale ambapo watoto wao ambao ni mateenagers wanapofanya makosa ya aina mbali mbali. Huu ni undumila kuwili wa hali ya juu. Wazazi hawaruhusiwi kuwaadabisha watoto wao lakini watoto hao wakifanya makosa wazazi wa watoto hao basi watatozwa faini au hata kwenda jela kwa makosa ya watoto wao! Halafu wanadai sheria zao ndizo bora! Ambazo zinaangalia pembeni pale ambapo mapadri wanawalawiti watoto na kuachwa bila kuchukuliwa hatua yoyote. Angalia kwa mfano sasa hivi hii kesi ya Mapadri wa Ireland ambao walikuwa wanapasiana watoto wa kuwalawiti na hadi hii leo bado wanapeta uraiani na sheria za nchi hazijaachwa zikachukua mkondo wake ili wahusika wakapewa adhabu inayoendana na makosa yao.

  Hawa Wanasiasa ni wanafiki tu wakiona weak point hutaka kuishambulia kila kukicha na wakati huo huo wanashindwa kuhakikisha sheria za nchi zao wanazozipigia debe zinafuatwa bila kupindishwa, siifagilii sharia law lakini nilitaka tu kuonyesha hata sheria za nchi za dunia ya kwanza ni nzuri mno vitabuni, lakini inapokuja kwenye kuzisimamia ili wakosaji waadhibiwe kutokana na makosa yao hapo kunakuwa na mapungufu mengi.

  Hili la kuachiwa mapadri walawiti katika nchi mbali mbali za dunia ya kwanza bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria zimeathiri sana mahudhurio katika makanisa mbali mbali ya nchi hizo baada ya waumini wengi kukasirishwa na vitendo hivyo vya kifirauni vinavyofanywa na watu wanaojiita “watumishi wa Mungu”
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa nini utake kwenda kuishi Australia kama hupendi values zao?

  Huu msimamo ni sawa kabisa, wanasema when in Rome do as the Romans. Watu wa Australia hawaruhusiwi hata kusali kanisani hapo Saudi Arabia, leo waislam wanataka kupeleka sharia Australia.

  The stinking audacity!
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,534
  Likes Received: 81,954
  Trophy Points: 280
  Values zao ndiyo zipi!? Za kuangalia pembeni wakati altar boys wanalawitiwa na mapadri!? Hizi tunaweza kuziita ni values zinazostahili kupigiwa debe?
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Takbir Waisilamu, Takbir waisilamu, tumswalie mtume.

  Hehe hehe ehe, warudi kwao kwa Maarabu.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  OK, sasa kama si za kupigiwa debe mnafuata nini nchini mwao?
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Baki kwenye hoja! Unaenda kwenye dini ili iweje? Kwanza siyo mapadri wote wanaolawiti hao wavulana. Pili, haya mambo hata wanajamii wengine hufanya na kwa kawaida yanalaaniwa.

  Waziri mkuu anazungumzia wahamiaji wewe unaleta ulawiti wa wavulana wa altare. Kama unataka kuzungumzia unafiki, hiyo ni human trait. Popote pale duniani unafiki upo. Usitake kuniambia viongozi wa nchi za ulimwengi wa tatu hawana unafiki.
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mwambie a google incidents za ma mullah huko Afghanistan wanavyowafanyia watoto wa ki Pashtun, ataona hao mapadre wanacheza tu.
   
 17. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maneno msumari
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This is deep!
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Looking at this with the supposedly genius of being able to entertain two opposing ideas at the same time - some would call that schizophrenia-, there is an argument that can be made to dismiss this guy's moral authority though.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  True and I was actually thinking the same thing. Most Aussies are not indigenous to that place. They (their ancestors, rather) too came from somewhere else. But I understand we live in a modern world and things are different as they were centuries ago. Otherwise it would be chaos if we all followed the argument you are alluding to (if it's the one I'm thinking it is). And in the end we'd all find out that we don't really know where we originally belong....
   
Loading...