Australia kuipa Ukraine Ndege Vita 41

Australia kuipa Ukraine Ndege Vita 41

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,321
Reaction score
103,591
Serikali ya Australia kwa Ushirikiano na Marekani wanafikiria kuipa Ukraine Ndege vita aina ya F/A 18 Hornet. Ndege hizo 41 zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine.

Sifa kuu ya F/A-18 HORNET ni Versatility na Reliability. Inaweza shughuli zote za Fighter na Attack Aircraft.

Hii itasaidia sana kwa Ukraine kufanya Recon, SEAD, Escort etc

Kazi kwenu Warusi
 
Ukraine inapewa silaha nyingi lakini zote zimeshindwa kuisaidia dhidi ya silaha chache za Russia.
 
Safi......hizi sio carrier based aircraft ?...au role na performance yake ni kama F-16 tu ?

T14 Armata
 
Nahisi wazungu wa siku hizi ninwajinga sana kuliko sisi waafrika.
Hizo zote ni chakula ya s 300.
Lakini wala haitafika kutumia kwa S300 kwani Urusi wataziunguza zote hata kabla hazijafika uwanja wa mapambano.
 
Sifa hizo ndio tulikuwa tunazisikia kuhusu Patriot series X, je, juzi juzi hapa pamoja na jana kumetokea nini kuhusu silaha za Americans zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi la Zelensky kwenye hyped counter offesive against Russia tuliona karibu silaha zote zilizo tolewa na US/NATO kujaribu kuisaidia Ukraine -tuliona karibu zote zimetiwa kiberiti na Urusi, na wanajeshi wengi wa Ukraine kupoteza maisha unnecessary.

Linapo kuja suala la ndege za vita type F-18 Ukraine hawana ma pilots wa kurusha, pigana vita na ndege hizo ao wana uzoefu a kirusha ndege za Urusi spacifically MiG-29 na Sukhoi-24 etc , kama ni kweli Biden amepania kufanya ujinga wa kuwapatia Ukraine F-18 , hivi anajua Urusi ita reacts vipi - maanake hapo itaonekana wazi wazi kwamba US/NATO wana mpango wa kutaka kuishambulia kijeshi Urusi kwa kutumia visingizio vya kuisaidia Ukraine wakati hiyo si kweli hata kidogo, lengo la Biden ni kutaka kuitumia Ukraine kutaka kuangusha utawala wa Putin yuko determined kweli kweli adventute zake hizi zinaweza kabisa kutusabibishia WW3.

Biden and his like mind wanacho sahau nij kwamba Urusi si Banana Republic ni super power - juzi na jana counter offensive ya Ukraine iliyo kuwa inaratibiwa na US/NATO huko Ukraine kumetokea nini vijana wa kiukraine pamoja na zana zao za kivita vimetolewa kafara na US pamoja na Zelensky, cha ajabu Zelensky haonekani kujali chochote hata wafe Wiaukraine mamilioni yeye anaona sawa tu, after all alisha jitengenezea makazi ya kudumu huko Miami Florida kwa nini awe bothered na expendable Ukranianis - binafsi nina wasi wasi kwamba hawa wanao jitia ni jeshi la Ukraine ambao wapo kwenye counter offensive operation ni wanajeshi wa NATO maanake wanavyo endeshwa puta na majeshi ya Urusi ikiwemo kutiwa viberiti kirahisi zana zao za kivita hii inadhiliilisha hawawezi kuwa wa Ukraine wa kweli ni mapandikizi ie wameokotezwa okotezwa kutoka kwenye muungano wa NATO ndio maana Urusi inawachakaza vilivyo kuwapa fundisho Wamerikani kwamba wasiiichezee Urusi - na wakiwa vig'ang'anizi watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000!!! Hapo ndio Urusi imeanza kuonyesha makucha yake kamili.
Serikali ya Australia kwa Ushirikiano na Marekani wanafikiria kuipa Ukraine Ndege vita aina ya F/A 18 Hornet. Ndege hizo 41 zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine.

Sifa kuu ya F/A-18 HORNET ni Versatility na Reliability. Inaweza shughuli zote za Fighter na Attack Aircraft.

Hii itasaidia sana kwa Ukraine kufanya Recon, SEAD, Escort etc

Kazi kwenu Warusi
 
Sifa hizo ndio tulikuwa tunazisikia kuhusu Patriot series X, je, juzi juzi hapa pamoja na jana kumetokea nini kuhusu silaha za Americans zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi la Zelensky kwenye hyped counter offesive against Russia tuliona karibu silaha zote zilizo tolewa na US/NATO kujaribu kuisaidia Ukraine -tuliona karibu zote zimetiwa kiberiti na Urusi, na wanajeshi wengi wa Ukraine kupoteza maisha unnecessary.

Linapo kuja suala la ndege za vita type F-18 Ukraine hawana ma pilots wa kurusha, pigana vita na ndege hizo ao wana uzoefu a kirusha ndege za Urusi spacifically MiG-29 na Sukhoi-24 etc , kama ni kweli Biden amepania kufanya ujinga wa kuwapatia Ukraine F-18 , hivi anajua Urusi ita reacts vipi - maanake hapo itaonekana wazi wazi kwamba US/NATO wana mpango wa kutaka kuishambulia kijeshi Urusi kwa kutumia visingizio vya kuisaidia Ukraine wakati hiyo si kweli hata kidogo, lengo la Biden ni kutaka kuitumia Ukraine kutaka kuangusha utawala wa Putin yuko determined kweli kweli adventute zake hizi zinaweza kabisa kutusabibishia WW3.

Biden and his like mind wanacho sahau nij kwamba Urusi si Banana Republic ni super power - juzi na jana counter offensive ya Ukraine iliyo kuwa inaratibiwa na US/NATO huko Ukraine kumetokea nini vijana wa kiukraine pamoja na zana zao za kivita vimetolewa kafara na US pamoja na Zelensky, cha ajabu Zelensky haonekani kujali chochote hata wafe Wiaukraine mamilioni yeye anaona sawa tu, after all alisha jitengenezea makazi ya kudumu huko Miami Florida kwa nini awe bothered na expendable Ukranianis - binafsi nina wasi wasi kwamba hawa wanao jitia ni jeshi la Ukraine ambao wapo kwenye counter offensive operation ni wanajeshi wa NATO maanake wanavyo endeshwa puta na majeshi ya Urusi ikiwemo kutiwa viberiti kirahisi zana zao za kivita hii inadhiliilisha hawawezi kuwa wa Ukraine wa kweli ni mapandikizi ie wameokotezwa okotezwa kutoka kwenye muungano wa NATO ndio maana Urusi inawachakaza vilivyo kuwapa fundisho Wamerikani kwamba wasiiichezee Urusi - na wakiwa vig'ang'anizi watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000!!! Hapo ndio Urusi imeanza kuonyesha makucha yake kamili.
Nchi yenye Uchumi ambao haufiki hata $3 trillion haiwezi kua super power.

Urusi walikuza na kuzipa sifa kedekede silaha zao za Hypersonic Leo hii zimeaibishwa Kwa kutunguliwa na Patriot system ya miaka ya 1980s. Leo hii zile ballistic missile ambazo Ukraine zilikua zinamsumbua kuzitungua zinatunguliwa kila zikijaribu kupenya anga la Kyiv,juzi wamerusha carrier killer missiles zimedakwa na Patriot. Stealth cruise missiles zao kh-101,kh-555 hazipenyi tena Kyiv mpaka wameamua wafanye mashambulizi kuchanganya na primitive Iranian drones lakini wapi.

Kama Urusi ana silaha kweli kwanini mpaka Leo wanashindwa ingiza Su-57 wanazoita ni stealth hapo Ukraine?!

Mpaka sasa West wameshavuka red lines karibu zote za Putin,long range missiles zimeshaanza kutua hapo Kyiv. Uingereza inafikiria kutuma storm shadow ambazo zinapiga zaidi ya 300km (hizi za sasa zinapiga max. 250km). Biden juzi kasema kuhusu ATACMS bado wapo kwenye mazungumzo lakini suala liko mezani. NATO wameanza kutrain rubani wa Ukraine kujiweka tayari kurusha F-16. Au Mkuu unasemea red lines zipi?!

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Sifa hizo ndio tulikuwa tunazisikia kuhusu Patriot series X, je, juzi juzi hapa pamoja na jana kumetokea nini kuhusu silaha za Americans zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi la Zelensky kwenye hyped counter offesive against Russia tuliona karibu silaha zote zilizo tolewa na US/NATO kujaribu kuisaidia Ukraine -tuliona karibu zote zimetiwa kiberiti na Urusi, na wanajeshi wengi wa Ukraine kupoteza maisha unnecessary.

Linapo kuja suala la ndege za vita type F-18 Ukraine hawana ma pilots wa kurusha, pigana vita na ndege hizo ao wana uzoefu a kirusha ndege za Urusi spacifically MiG-29 na Sukhoi-24 etc , kama ni kweli Biden amepania kufanya ujinga wa kuwapatia Ukraine F-18 , hivi anajua Urusi ita reacts vipi - maanake hapo itaonekana wazi wazi kwamba US/NATO wana mpango wa kutaka kuishambulia kijeshi Urusi kwa kutumia visingizio vya kuisaidia Ukraine wakati hiyo si kweli hata kidogo, lengo la Biden ni kutaka kuitumia Ukraine kutaka kuangusha utawala wa Putin yuko determined kweli kweli adventute zake hizi zinaweza kabisa kutusabibishia WW3.

Biden and his like mind wanacho sahau nij kwamba Urusi si Banana Republic ni super power - juzi na jana counter offensive ya Ukraine iliyo kuwa inaratibiwa na US/NATO huko Ukraine kumetokea nini vijana wa kiukraine pamoja na zana zao za kivita vimetolewa kafara na US pamoja na Zelensky, cha ajabu Zelensky haonekani kujali chochote hata wafe Wiaukraine mamilioni yeye anaona sawa tu, after all alisha jitengenezea makazi ya kudumu huko Miami Florida kwa nini awe bothered na expendable Ukranianis - binafsi nina wasi wasi kwamba hawa wanao jitia ni jeshi la Ukraine ambao wapo kwenye counter offensive operation ni wanajeshi wa NATO maanake wanavyo endeshwa puta na majeshi ya Urusi ikiwemo kutiwa viberiti kirahisi zana zao za kivita hii inadhiliilisha hawawezi kuwa wa Ukraine wa kweli ni mapandikizi ie wameokotezwa okotezwa kutoka kwenye muungano wa NATO ndio maana Urusi inawachakaza vilivyo kuwapa fundisho Wamerikani kwamba wasiiichezee Urusi - na wakiwa vig'ang'anizi watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000!!! Hapo ndio Urusi imeanza kuonyesha makucha yake kamili.
"watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000"

[emoji3516] Kwa mujibu wa Nani?! Russia!!!? Ila ukiwaomba evidence hawana.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya Australia kwa Ushirikiano na Marekani wanafikiria kuipa Ukraine Ndege vita aina ya F/A 18 Hornet. Ndege hizo 41 zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine.

Sifa kuu ya F/A-18 HORNET ni Versatility na Reliability. Inaweza shughuli zote za Fighter na Attack Aircraft.

Hii itasaidia sana kwa Ukraine kufanya Recon, SEAD, Escort etc

Kazi kwenu Warusi
Zisitaafishwe!!! hawa wanampa Ukraine vyuma chakavu
 
West wafikie mahala watoe tu silaha kimya kimya,maana huwa wanawapa watu matumaini hewa!
 
Sifa hizo ndio tulikuwa tunazisikia kuhusu Patriot series X, je, juzi juzi hapa pamoja na jana kumetokea nini kuhusu silaha za Americans zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi la Zelensky kwenye hyped counter offesive against Russia tuliona karibu silaha zote zilizo tolewa na US/NATO kujaribu kuisaidia Ukraine -tuliona karibu zote zimetiwa kiberiti na Urusi, na wanajeshi wengi wa Ukraine kupoteza maisha unnecessary.

Linapo kuja suala la ndege za vita type F-18 Ukraine hawana ma pilots wa kurusha, pigana vita na ndege hizo ao wana uzoefu a kirusha ndege za Urusi spacifically MiG-29 na Sukhoi-24 etc , kama ni kweli Biden amepania kufanya ujinga wa kuwapatia Ukraine F-18 , hivi anajua Urusi ita reacts vipi - maanake hapo itaonekana wazi wazi kwamba US/NATO wana mpango wa kutaka kuishambulia kijeshi Urusi kwa kutumia visingizio vya kuisaidia Ukraine wakati hiyo si kweli hata kidogo, lengo la Biden ni kutaka kuitumia Ukraine kutaka kuangusha utawala wa Putin yuko determined kweli kweli adventute zake hizi zinaweza kabisa kutusabibishia WW3.

Biden and his like mind wanacho sahau nij kwamba Urusi si Banana Republic ni super power - juzi na jana counter offensive ya Ukraine iliyo kuwa inaratibiwa na US/NATO huko Ukraine kumetokea nini vijana wa kiukraine pamoja na zana zao za kivita vimetolewa kafara na US pamoja na Zelensky, cha ajabu Zelensky haonekani kujali chochote hata wafe Wiaukraine mamilioni yeye anaona sawa tu, after all alisha jitengenezea makazi ya kudumu huko Miami Florida kwa nini awe bothered na expendable Ukranianis - binafsi nina wasi wasi kwamba hawa wanao jitia ni jeshi la Ukraine ambao wapo kwenye counter offensive operation ni wanajeshi wa NATO maanake wanavyo endeshwa puta na majeshi ya Urusi ikiwemo kutiwa viberiti kirahisi zana zao za kivita hii inadhiliilisha hawawezi kuwa wa Ukraine wa kweli ni mapandikizi ie wameokotezwa okotezwa kutoka kwenye muungano wa NATO ndio maana Urusi inawachakaza vilivyo kuwapa fundisho Wamerikani kwamba wasiiichezee Urusi - na wakiwa vig'ang'anizi watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000!!! Hapo ndio Urusi imeanza kuonyesha makucha yake kamili.
Urusi hana jipya, hakuna reaction yoyote atafanya...... Ukraine imembana mbavu.
 
Ukraine inapewa silaha nyingi lakini zote zimeshindwa kuisaidia dhidi ya silaha chache za Russia.
Silaha Gani ambayo mrusi haja zitumia?? Silaha chache za urusi manake nini??
Kilomita ngapi za vifaru vilivyo Ingia Ukreine na kugeuzwa chuma chakavu!
Silaha anazo pewa msaada Zingeshindwa mrusi angeigeuza ukreine koloni lake!
Matokeo YAKE Putin Anaishi kwenye mahandaki Kama pannya buku!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom