Hebu tuwekee tafsiri ya Upendo!Putin anawapenda sana wakazi wa Ukraine, la sivyo angewageuza kuwa majivu woooote.
impact iko wapi weweNarudia tena ur iq is at the lowest level , je unaijua nguv ya kijeshi ya Urusi ? je unajua strategy wanayotumia west kumsaidia Ukraine kulinda mipaka yake ? kiufup upeo wako mdg sana umesahau feb 2022 Urusi walikuwa nje ya kyiev ila sasa hv miji ya Urusi inalipuliwa , bado unasema huon impact , ndo walewale mnamlaumu Zele kujilinda na mkiulizwa ww ungefanaya mnaosa majibu , kwahali iyo ukichaa soon unakujia
Endelea kujidhalilisha kwa kuandika pumba ukihisi una fikra pana!Najua nitakuwa nimeeleweka na watu wenye uelewa!Kwa wewe ambaye akili umeifungia ndani ya box basi kaza fuvu!Narudia tena ur iq is at the lowest level , je unaijua nguv ya kijeshi ya Urusi ? je unajua strategy wanayotumia west kumsaidia Ukraine kulinda mipaka yake ? kiufup upeo wako mdg sana umesahau feb 2022 Urusi walikuwa nje ya kyiev ila sasa hv miji ya Urusi inalipuliwa , bado unasema huon impact , ndo walewale mnamlaumu Zele kujilinda na mkiulizwa ww ungefanaya mnaosa majibu , kwahali iyo ukichaa soon unakujia
Kichwa kigumu huyoooo,wanawapelekea vyuma chakavu mwishowe hakuna mbwembwe na watu wanapoteaEndelea kujidhalilisha kwa kuandika pumba ukihisi una fikra pana!Najua nitakuwa nimeeleweka na watu wenye uelewa!Kwa wewe ambaye akili umeifungia ndani ya box basi kaza fuvu!
Narudia,ushereheshaji wa utoaji wa silaha haufanani na matokeo!Kila zele akipewa silaha hii,basi baada ya muda anakuja kuomba silaha ya aina nyingine!Hapo kwa mwenye uelewa anaelewa kwanini!
Medvedev amesema mara kwa mara kuwa,hizo silaha za west zitachomwa tu huko ukraine na hazitabadili chochote!Zaidi zitasababisha Russia aendelee kuwasukuma ukraine mbali zaidi!Na kweli tumeona hivyo,silaha zinapoingia zinavuma kwa muda kidogo kisha panatulia kama hazipo!Baadaye tunashereheshwa na ujio wa silaha nyingine,mambo yanajirudia!
Wanaume waliitengea bajeti ya miaka 5 hii vita. Hii misaada inavyoendelea kumiminwa, kuna siku mtu ataachia ardhi aliyoipoka kwa kasi.Nchi yenye Uchumi ambao haufiki hata $3 trillion haiwezi kua super power.
Urusi walikuza na kuzipa sifa kedekede silaha zao za Hypersonic Leo hii zimeaibishwa Kwa kutunguliwa na Patriot system ya miaka ya 1980s. Leo hii zile ballistic missile ambazo Ukraine zilikua zinamsumbua kuzitungua zinatunguliwa kila zikijaribu kupenya anga la Kyiv,juzi wamerusha carrier killer missiles zimedakwa na Patriot. Stealth cruise missiles zao kh-101,kh-555 hazipenyi tena Kyiv mpaka wameamua wafanye mashambulizi kuchanganya na primitive Iranian drones lakini wapi.
Kama Urusi ana silaha kweli kwanini mpaka Leo wanashindwa ingiza Su-57 wanazoita ni stealth hapo Ukraine?!
Mpaka sasa West wameshavuka red lines karibu zote za Putin,long range missiles zimeshaanza kutua hapo Kyiv. Uingereza inafikiria kutuma storm shadow ambazo zinapiga zaidi ya 300km (hizi za sasa zinapiga max. 250km). Biden juzi kasema kuhusu ATACMS bado wapo kwenye mazungumzo lakini suala liko mezani. NATO wameanza kutrain rubani wa Ukraine kujiweka tayari kurusha F-16. Au Mkuu unasemea red lines zipi?!
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Dogo unatetea nini ww??[emoji15][emoji12]impact iko wapi wewe
bakhmut
soledar
mauripaul
na ssasa mariinka iko njiani acha kujiaibisha
Mama yakoDogo unatetea nini ww??[emoji15][emoji12]
Ashki majunun ehh?!
takbirrrr..[emoji110] walahi hatukubali..[emoji109][emoji109]Mama yako
Nikiwa na mama yakotakbirrrr..[emoji110] walahi hatukubali..[emoji109][emoji109]
Unaumia ukiwa wapi dogo...