Australia kuipa Ukraine Ndege Vita 41

Australia kuipa Ukraine Ndege Vita 41

Silas Gani ambao mrusi haja utumia?? Silaha chache za urusi manake nini??
Kilomita ngapi za vifaru vilivyo Ingia Ukreine na kugeuzwa chuma chakavu!
Silas anazo said I was Zingeshindwa mrusi anengeigeuza ukreine koloani lake!
Matokeo YAKE Putin Anaishi kwenye mahandaki Kama pannya buku!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Putin anawapenda sana wakazi wa Ukraine, la sivyo angewageuza kuwa majivu woooote.
 
Nahisi wazungu wa siku hizi ninwajinga sana kuliko sisi waafrika.
Hizo zote ni chakula ya s 300.
Lakini wala haitafika kutumia kwa S300 kwani Urusi wataziunguza zote hata kabla hazijafika uwanja wa mapambano.
Ujinga wako wa kujenga vyoo kwa msaada wa mabeberu ndo unataka linganisha na ujinga gana hapa dunian ? Kwamba unawaona hao ni wajinga wkt hata huyo Urusi haez tia kauli kwao
 
Sifa hizo ndio tulikuwa tunazisikia kuhusu Patriot series X, je, juzi juzi hapa pamoja na jana kumetokea nini kuhusu silaha za Americans zilizo kuwa zinatumiwa na jeshi la Zelensky kwenye hyped counter offesive against Russia tuliona karibu silaha zote zilizo tolewa na US/NATO kujaribu kuisaidia Ukraine -tuliona karibu zote zimetiwa kiberiti na Urusi, na wanajeshi wengi wa Ukraine kupoteza maisha unnecessary.

Linapo kuja suala la ndege za vita type F-18 Ukraine hawana ma pilots wa kurusha, pigana vita na ndege hizo ao wana uzoefu a kirusha ndege za Urusi spacifically MiG-29 na Sukhoi-24 etc , kama ni kweli Biden amepania kufanya ujinga wa kuwapatia Ukraine F-18 , hivi anajua Urusi ita reacts vipi - maanake hapo itaonekana wazi wazi kwamba US/NATO wana mpango wa kutaka kuishambulia kijeshi Urusi kwa kutumia visingizio vya kuisaidia Ukraine wakati hiyo si kweli hata kidogo, lengo la Biden ni kutaka kuitumia Ukraine kutaka kuangusha utawala wa Putin yuko determined kweli kweli adventute zake hizi zinaweza kabisa kutusabibishia WW3.

Biden and his like mind wanacho sahau nij kwamba Urusi si Banana Republic ni super power - juzi na jana counter offensive ya Ukraine iliyo kuwa inaratibiwa na US/NATO huko Ukraine kumetokea nini vijana wa kiukraine pamoja na zana zao za kivita vimetolewa kafara na US pamoja na Zelensky, cha ajabu Zelensky haonekani kujali chochote hata wafe Wiaukraine mamilioni yeye anaona sawa tu, after all alisha jitengenezea makazi ya kudumu huko Miami Florida kwa nini awe bothered na expendable Ukranianis - binafsi nina wasi wasi kwamba hawa wanao jitia ni jeshi la Ukraine ambao wapo kwenye counter offensive operation ni wanajeshi wa NATO maanake wanavyo endeshwa puta na majeshi ya Urusi ikiwemo kutiwa viberiti kirahisi zana zao za kivita hii inadhiliilisha hawawezi kuwa wa Ukraine wa kweli ni mapandikizi ie wameokotezwa okotezwa kutoka kwenye muungano wa NATO ndio maana Urusi inawachakaza vilivyo kuwapa fundisho Wamerikani kwamba wasiiichezee Urusi - na wakiwa vig'ang'anizi watapata fundisho la mwaka, jana na leo tu wamekwisha kufa zaidi ya wanajeshivwa Ukraine/NATO takribani 2,000!!! Hapo ndio Urusi imeanza kuonyesha makucha yake kamili.
Kama silaha krb zote zimetiwa kibiriti , kwann asisogee pale kyiev kama alitua siku ya kwanza kwa mbwembwe
 
West wafikie mahala watoe tu silaha kimya kimya,maana huwa wanawapa watu matumaini hewa!
Kwan huon maendeleo ? Au unategemea unaeza ipiga Urusi kwa mwaka mmoja ? Waafrika akili zenu hazion zaid ya hatua 2 na ndio maana hatupigi hatua , mf ni hii reply yako inaonesha upeo wako unaishia hatua moja ulipo
 
No one gives a fvk about Vladimir Putin, usiwe unamkuza huyo mtu hana meno kashashikwa sharubu mara nyingi ila hafanyi kitu. Usitarajie kuna mtu ataacha kufanya maamuzi yake kisa kajamaa kamoja kanakoongoza nchi dhaifu.

Kama Putin yuko serious na nchi yake aendelee kulialia, kama anataka kujua dunia ya uchumi na teknolojia ikoje aijaribu Marekani ndio atajua pamoja na Marekani kuongoza kiuchumi duniani kwanini haina Free Healthcare na hela za kufanyia hivyo huwa inazifanyia nini.

Marekani kwa mwaka inatumia zaidi ya $600 kwenye jeshi na hapo haipo vitani, tangu vita ya Ukraine ianze hiyo nchi imepokea msaada unaofikia kama $42 billion hivi, sidhani kama $45 b zinafika.
Sasa kama Urusi ni superpower apambane na chini ya $45 billion kwa mwaka ashinde kabla ya kuwaza kupambana na taasisi inayotumia $600+ billion ambazo ni za mwaka mmoja tu, bado kuna za kuanzia 1980 uko maana Urusi hadi sasa silaha za Marekani za miaka hiyo zinasumbua.

Ushindwe Ndondo Cup uanze mipango ya CAF Champions League?
 
zilikuwa zisitaafishwe ila wameamua kuipa Ukraine.

Sifa kuu ya F/A-18 HORNET ni Versatility na Reliability.
Inaweza shughuli zote za Fighter na Attack Aircraft.
Na sifa hizi bado wakataka kuzistaaisha hapo unaelewa nini?
Juzi moja imeanguka Nchini Spaini wakati wa mazoezi, yaani wanapeleka madude ambayo hayana msaaada wowote.
Swali la pili itachukua muda gani kwa marubani wa Ukrein kuweza kuoperate hizo ndege. Maana F.16 bado wanahangaika kujifunza huko nchi za Scandnavia na wanaonekana wana vichwa vigumu kuelewa
 
Kwan huon maendeleo ? Au unategemea unaeza ipiga Urusi kwa mwaka mmoja ? Waafrika akili zenu hazion zaid ya hatua 2 na ndio maana hatupigi hatua , mf ni hii reply yako inaonesha upeo wako unaishia hatua moja ulipo
Hapo na wewe umejikuta great thinker kumbe umeandika porojo tu!
Tatizo huwa ni kelele nyingi wakati silaha zinatolewa na matokeo yake hayafanani na hizo kelele!Tumesikia nyimbo nyingi sana kila batch ya silaha inapotolewa halafu mwisho wa siku ni kama kuna tokea ukimya!
Kila aina mpya ya silaha tunaambiwa ni "game changer"!Ila ukiangalia how significant kulinganisha na kelele zinazopigwa wakati silaha zinatolewa,ndio hapo unakutana na ukimya!
Ndio maana nikasema bora hizo silaha zitolewe kimya kimya tu kuliko kusherehesha hivi halafu mambo hayaendi kama sherehe ilivyopangwa!
 
Na sifa hizi bado wakataka kuzistaaisha hapo unaelewa nini?
Juzi moja imeanguka Nchini Spaini wakati wa mazoezi, yaani wanapeleka madude ambayo hayana msaaada wowote.
Swali la pili itachukua muda gani kwa marubani wa Ukrein kuweza kuoperate hizo ndege. Maana F.16 bado wanahangaika kujifunza huko nchi za Scandnavia na wanaonekana wana vichwa vigumu kuelewa
Hujitambui, ndege ya mwaka 78 hiyo.
Watu wanahamia F35/22
 
No one gives a fvk about Vladimir Putin, usiwe unamkuza huyo mtu hana meno kashashikwa sharubu mara nyingi ila hafanyi kitu. Usitarajie kuna mtu ataacha kufanya maamuzi yake kisa kajamaa kamoja kanakoongoza nchi dhaifu.

Kama Putin yuko serious na nchi yake aendelee kulialia, kama anataka kujua dunia ya uchumi na teknolojia ikoje aijaribu Marekani ndio atajua pamoja na Marekani kuongoza kiuchumi duniani kwanini haina Free Healthcare na hela za kufanyia hivyo huwa inazifanyia nini.

Marekani kwa mwaka inatumia zaidi ya $600 kwenye jeshi na hapo haipo vitani, tangu vita ya Ukraine ianze hiyo nchi imepokea msaada unaofikia kama $42 billion hivi, sidhani kama $45 b zinafika.
Sasa kama Urusi ni superpower apambane na chini ya $45 billion kwa mwaka ashinde kabla ya kuwaza kupambana na taasisi inayotumia $600+ billion ambazo ni za mwaka mmoja tu, bado kuna za kuanzia 1980 uko maana Urusi hadi sasa silaha za Marekani za miaka hiyo zinasumbua.

Ushindwe Ndondo Cup uanze mipango ya CAF Champions League?
US hataki vita na Urusi,hivyo hivyo Urusi hataki vita na US!Kiufupi wanaogopana!Huo ndio ukweli mchungu ambao hutaki kuusikia!
 
Hapo na wewe umejikuta great thinker kumbe umeandika porojo tu!
Tatizo huwa ni kelele nyingi wakati silaha zinatolewa na matokeo yake hayafanani na hizo kelele!Tumesikia nyimbo nyingi sana kila batch ya silaha inapotolewa halafu mwisho wa siku ni kama kuna tokea ukimya!
Kila aina mpya ya silaha tunaambiwa ni "game changer"!Ila ukiangalia how significant kulinganisha na kelele zinazopigwa wakati silaha zinatolewa,ndio hapo unakutana na ukimya!
Ndio maana nikasema bora hizo silaha zitolewe kimya kimya tu kuliko kusherehesha hivi halafu mambo hayaendi kama sherehe ilivyopangwa!
Narudia tena ur iq is at the lowest level , je unaijua nguv ya kijeshi ya Urusi ? je unajua strategy wanayotumia west kumsaidia Ukraine kulinda mipaka yake ? kiufup upeo wako mdg sana umesahau feb 2022 Urusi walikuwa nje ya kyiev ila sasa hv miji ya Urusi inalipuliwa , bado unasema huon impact , ndo walewale mnamlaumu Zele kujilinda na mkiulizwa ww ungefanaya mnaosa majibu , kwahali iyo ukichaa soon unakujia
 
Hujitambui, ndege ya mwaka 78 hiyo.
Watu wanahamia F35/22

Back
Top Bottom