AUSTIN JAY JAY OKOCHA

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,565
1,911
WAKUU HUYU JAMAA SJAWAHI ONA MWINGINE AFRICA NA HUKO KWA WENZETU LABDA GAUCHO,JAMAA ALIKUWA ANAPGA VYENGA,MAKANZU YA KUCHUKULIA MPIRA MGONGONI, MNAMZUNGUMZIAJE HUYU KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA NIGERIA.
 
He was so good they had to name him twice, hence Jay Jay Okocha

Ubaya hakucheza timu kubwa wala kushinda mataji ya maana enzi zake. Kuna kipindi PSG walikua huku wana Okocha kule Gaucho, u can imagine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom