Austarlia: Seneta anyonyesha mtoto Bungeni

Austarlia: Seneta anyonyesha mtoto Bungeni

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Watu husema hakuna kinachozidi upendo wa mama na wengi wao wamedhihirisha hilo kama ilivyokuwa kwa Seneta wa Australia, Larissa Waters ambaye aliamua kumnyonyesha mtoto wake wa miezi miwili akiwa bungeni........

d042a9f78a3310a1a9d48610cafefcba.jpg
4fcecb228eb52ab541b321790bbba314.jpg
493636370428f5c432ca1c38aae8d82c.jpg
 
Wazungu wanafanya kazi kweli kweli yaani kila anayeajiriwa anakuwa na kazi ya kufanya ndio maana seneta huyo akalazimika kwenda na mwanae kabisa.
 
Mh angekuwa cleaner au anafanya kazi kama saver McDonald angeenda na mtoto?
 
Back
Top Bottom