Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa?
Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini uombe msamaha na kusema uchochezi?
Embu tuache kidogo kuna kitu kimejificha hapo
===========
Aunty Lulu anasema katika Harakati Zake Za kisiasa Baada Ya Kugundua Amekosea Alijipeleka Polisi Na Kuomba Msamaha Na Jeshi LA Polisi Likamsamehe