Binafsi siwashangai baadh ya wabunge wa Upinzani(hususan Chadema). Wamekuwa wakitafuta "cheap popularity" bila kujua huku mtaani wanatukera na tunawaona wapumbafu sana.
Mfano mdogo tu; Kwenye kikao kichopota cha Bunge, T.Lissu alisimamisha mjadala wa maana mle bungeni nakutoa taarifa yakiudaku nayakipuuzi saa kwamba, "TBC1 IMEZIMA MATANGAZO YOTE ILI WATANZANIA WASISIKIE MJADALA HUU".
Yaani Lissu aliniharibia tension vibaya sana. Nilikuwa Morogoro mjini siku hiyo nikifuatilia hoja ile live kwenye bar moja ivi kupitia TBC1. Yaani tuliguna wote kwa hasira.
Namshukuru Nkamia alikuja jion yake kumpa vidonge vyake.
Ni tatizo mno hawa watu.

if you talk about cheap popularity, the you must be talking of CCM MPs, hawana chochote zaidi ya sifa dhaifu
unless hujui maana ya neno cheap popularity, Lema is way beyond popularity unayojaribu kuizungumzia
Ulisikiriza inteview ya pande zote mbili.?
You have to be careful with types of popularities. One can be popular for a foolish and bustard issues. Lema suits that type of popularities.
You can at least defend Lissu(though most of the times he has been more exaggerating & and very shallow) to the extent of boring!
...
....Cho bhageshi kolya kwa mpanga !!!
Utetezi dhaifu kweli huu.Mkuu hakuwa peke yake walikuwa kundi mpaka wanamuziki kama Madee walialikwa .
Mkuu Lema aliongea kuwa Nyarandu alikuwa anatanua na kupiga picha na Aunty Ezekiel, mambo ya facebook na Instagram atapelekaje bungeni??
Dah! nimegundua jinsi gani hii Jamii forum inivyokua ni kichadema chadema, yaani hii inatumiwa na kulipwa na CHADEMA
Mkuu Lema aliongea kuwa Nyarandu alikuwa anatanua na kupiga picha na Aunty Ezekiel, mambo ya facebook na Instagram atapelekaje bungeni??
...
....Ndo maana wakora wametupiga bani !!!