Yupi kati ya hawa ni mwanajamii bora. Mwenye elimu kubwa lakini haitumii na mwenye elimu kidogo na akawapatia na wenzie? Wanaoitwa wasomi wa bongo, wengi wao ni vyeti tu, hawana uthubutu wa kufanyia kazi kile wanachokijua. Sadaka endelea bana, Wengi unatupa changamoto kufikiri mambo mengi baada ya uwasilishaji wako. Go on