Aunt ezekiel kapigwa stop movie za bongo

jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na hayo maisha atayaendesha vipi,,akiwa malaya tena wataanza kumlaumu,,mi naona siyo haki bana wamuache aendelee maana hata hao waliomsimamisha wenyewe ndiyo wachafu kuliko sema kwa vile tu sio maarufu wangekuwa wa kwanza kusimamishwa,,maana tuna skendo zao kibao ila tumezitunza tu
Si atauza sura tu jamani kwani yeye ni mcheza filamu kwangu mimi huyo hachezi filamu ili anauza sura kupitia filamu na kwa kuwa maarufu kwa kuuza sura basi haina neno sio lazima auze sura kwenye filamu
 
Si kila mtu anauwezo wa kuigiza. Ni kipaji. So kwa wale wanaotokea kufanya vizuri si mbaya tukawapa sifa zao. Aunty ezekiel is great!! Hao waliompiga stop ni roho mbaya tu..
 
we nae ingia tu hapo baharini uweze kuoga maana umbea ulikuwepo tangu mwanzo ila sisi ytunauendelza tena we nahisi ungekuwa msanii wa bongomovie usingeuza hata movie moja maana unaonekana una roho mbaya kama ya paka mwenzenu kufungungiwa umefurahiiiiiiiiiiiiiiii,,,haya igiza we tukuone
njoo ufanyiwe maombi! Sio ww ni pepo!
 
Crap crap crap.....kuanzia hao bongo movie wasanii na maproducer wote uharo tu....
 
Hii habari lol labda waliomba rushwa ya ngono wakanyimwa ...maana wabongo bana
 
Wasanii wengi wa movie hawana nidhamu, sio wanawake wala wanaume!! Uwozo mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom