Kazi tunayo si kidogoSo wat? Inatusaidia nini sisi katika kujenga taifa? Watanzania banah
Acha tu mkuu, inakera sana, hili ni balaa tupu... Watu wanafuatilia vitu vya ajabu sana kwenye mitandao wakati kuna vitu vya msingi vingeweza msaidia.... Sasa iyobo akinyimwa penzi sisi inatuhusu kwa mfanoKazi tunayo si kidogo
Hii numbisa sio kiki walitaka iwe kiki ila imejeuka kuwa upuuzi, utahira, ujuha nkKiki
Hii numbisa sio kiki walitaka iwe kiki ila imejeuka kuwa upuuzi, utahira, ujuha nk
Sasa ww umeharibu kuja humuSo wat? Inatusaidia nini sisi katika kujenga taifa? Watanzania banah
Akili ya mcheza show ni sawa na akili ya mwanasesereDansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.
Akizungumza na gazeti hili, Iyobo alisema kuwa yeye na Aunt ni watu ambao wanataniana sana japokuwa tayari ni wazazi kwa hiyo hata alipoandika juzikati Instagram, alikuwa kwenye kuendeleza utani japo mashabiki wao wameipokea vibaya.
“Unajua watu wanashindwa kuelewa lakini mimi na mama Cookie (Aunt) tunataniana sana kwa hiyo hata kuandika vile ni kumtania tu sasa watu hawakuelewa naona wametoa povu kweli,”
alisema Iyobo.
Iyobo alikomenti kwenye video aliyoposti Aunt ikimuonesha akitembea akisindikiza na ujumbe wa neno ‘fresh’:
“Umeninyima penzi halafu uposti fresh?” alikomenti Iyobo.
Sounds like a female version of Mandigo.Haya majina ya kizungu nayo, utampaje mwanao jina kama Cookie? It sounds like a porn star name to me. I'm sorry.
Kukata viuno inasaidia nini katika ujenzi wa uchumi hapo?Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.