Aulizaye ataka kujua

Aulizaye ataka kujua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,142
Reaction score
96,172
Kwa nia njema tu.
Ustaadh ni daraja gani katika elimu ya kiislamu. Cheo/ ngazi hiyo unaipata unapomaliza elimu ya kiwango gani?

Kwanini nauliza hivyo?
Hawa ndio wanaokuja kuwa Think Tanks za taasisi za Kiislamu.
 
Wanakuja maustadh kukujibu, ila mi nadhani kijana yeyote wa kiume kuanzia miaka 18 anaitwa ustaadh, au mwalimu wa wanafunzi wa madrasa...!!!
 
Ustath ni kupiga matonge ya ubweche na kuvaa kobazi plus kula kitimoto
20251118_174654.jpg
 
Nyie wasomi wa PHD mna nini labda,?...mkifa hamuozi au?
 
Hao mashekhe ubwabwa wasifanye mkawaona mashekhe wote hawajielewi....

Kwenye maulid katika wilaya moja mkoa wa kati..walifika misikitini kutaka kutumia dini kugawa watu..mbona waislamu waligoma kuitikia hata takbiir😀😀....mi nakuhakikishia propaganda ya kidini imegoma vibaya
 
Na imefeli vibaya sana
 
Mnatukosea sana adabu waislam, kisa tu kuna masheikh wachache wameamua kujitoa ufahamu, mkianza hivi mnaingia kwenye mtego ule ule wa kufarakanisha ili yao yaende.
Sijui hao masheikh walioongea wana level gani ya elimu katika hizi

1️⃣ Maktab / Madrasa ya awali
2️⃣ Ibtidaai kama primary
3️⃣ Mutawassit kama o level
4️⃣ Thanawi kama A level
5️⃣ (Hiari) Idadiya / Sanawiyya Ul-‘Ulya hii ni level ya chini kabla ya degree
6️⃣ Shahada / Chuo Kikuu
7️⃣ Masters
8️⃣ PhD

Ila nijuavyo mimi mtu akiamua kuwa mnafiki haijalishi elimu yake, anafanya sababu ya manufaa yake

Mie mbona sina elimu hiiiiyo lakini naona kabisa hawa wahuni wanafamya ndivyo sivyo?
Mkianza kuwa attack waislam wote kwa ujumla mnakuwa wapumbavu shambulieni wale WAHUNI wanaojiita masheikh.. sababu kuna waislam pia wanawapinga wale
 
Ndo useme ma ustaadh wanakuwa na Elimu level ipi hapo.
Maana hujafafanua kabisa, 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom