moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,793
- 776,997
Huo ndiyo unafiki wa kisiasa usiokubalika.Hao ACt huwa wanasusia kwa muda ila mwisho wa siku wanakubali. Hiyo ndio sababu kubwa
Unasusia kitu ambacho unajua fika utakubaliana nacho.
Wanapoteza pesa za uma na muda kukaa vikao vya uongo na kweli kujadili kitu ambacho wanajua fika lazima watakubaluana nacho!!