Augustino Ramadhani: Chaguo la system


Rafikinyawezekana uyasemayo ni ndotonya JK,lakini kitambulisho kikuu cha JK ni unFiki na urafiki.Hawezi kumweka Mtu wa Mkapa kwanza,pili ni dhaifu mno wa kufanya maamuzi magumu na tatu maamuzi ya nani awe Mwenyekiti wachama cha Mafisadi ni pesa na wamewekez sana kiasi kwamba JK hana ubavu wa kufanya uamuzi huo.Wenye maamuzi nani awe mwenyekiti ni walenwenyenfedha zao na ambao ndiyo waliomuingiza madarakani.

Je JK yukk tayari kumwaga mboga?Nina uhakika wenzake wako tayari kumwaga ugali.

Kumbuka watu wa Mkapa ndiyo waliowekwa ndani au kutolewa kafara na mtu wa JK kapona tena bila hata majeraha unadhani hatakuwa na impact yeyote kwa future ya JK?
 
hilo haijalishi watanganyika kwa ujumla wetu tutaonyesha nguvu yetu kwenye sanduku la kura.

Hata mimi ningefurahi kama ingekuwa rahisi hivyo! Ukweli ni kwamba kwenye uwanja wa kisiasa ulipo Tanzania CCM sio rahisi kushindwa. Wana kila kitu mpaka ''anayeamua'' nani ni mshindi ni mteule wao. Yes.. ni Lubuva and co. ndio anaamua ni si wapiga kura wanaoamua nani ni mshindi. Kwa mazingira tuliyonayo sasa hivi kitu kitakachoiondosha CCM ni kitu ambacho mimi nitakiita ''extra ordinary unforeseen circumstances''. Vinginevyo tunarudi kule kule. Inatakiwa katiba nzuri na tume huru kabisa ya uchaguzi. Na hiki CCM hawataki kitokee kwani wanajua kabisa ndio utakuwa mwisho wao.
 

CCM Waspomptsha lowasa ...chadema naomba mniandalie kadi mimi na ndugu zangu jamaa wote nazan 200 officially na wana team wenzangu amken
 
rais wa tanzania mzanzibar
rais wa zanzibar mzanzibar

kweli!! ebu lione hili ccm

Hilo lazima CCM inabidi waliangalie sana. Watanganyika kutawalia na wajivuni wazanzibari haikubaliki. Watawapa nguvu UKAWA ambao watajenga hoja zenye mashiko kwa vijana.

Watanganyika wanataka Rais wao kutoka Tanganyika. Ina maana katika watanganyika milioni 45 hakuna hata mmoja mwenye sifa kama huyu Jaji au na kuzidi?

CCM mpitisheni mueno mserereko wa Ukawa kuingia Ikulu.

Mpeni hiyo nafasi Makongoro awanyonyoe mafisadi na kuwaletea watanzania mabadiliko ya kweli.
 
Kwahiyo Brother Man Daudi naye atakuwa Kama Rizone?

Mmeshaanza Majungu Yenu. Watanzania Sijui Tupoje. Hivi Na Wewe Mathalan Baba Yako Angekuwa Ndiyo Rais Wetu Usinge Feel Proud? Tutafutieni Basi Rais Tasa Mridhike!
 
nani atatusaidia kumuuza mtu mwenyewe hatumfaamu,
poleni wazee wa ccm mliompendekeza mwaka ccm mkimpitisha mtu asiyefaamika au mwizi kazi mnayo.

Kwani Mkapa Mlimfahamu Vizuri Hapo Kabla? Lakini Mbona Aliuzika, Akakubarika Na Akatuongoza Watanzania Kwa Nidhamu Ya Juu Iliyotukuka Na Leo Tunamkumbuka Mzee Wa Watu!
 

Kama Leo Unashangaa Rais Agustino Ramadhan Vipi Hushangai Rais Barrack Hussein Obama Wa Marekani? Muwe Mnafikiri Pia Na Nje Ya Box.
 
Manina....labda unacheza na moto ww... wananchi hawamjui, hawamtaki hauziki...CCM haifanyi upuuzi huo..

CCM itachagua mgombea anayeuzika ndani na nje ya CCM ili kushinda Urais...!!!!

Huku Zikiwa Zimebaki Siku 5 TUHESHIMIANE Hapa Mjini Naomba Niseme Na Nitaje Tena Kwa MSISITIZO ULE ULE Niliousema Kipindi Cha Wiki Kadhaa Hadi Nikaweka Nadhiri Humu Kwamba Mgombea Wa CCM Atatoka Katika Hawa Wafuatao Tena Kwa Umuhimu Wao Kimahesabu :


  • Dr. John Pombe Magufuli............45%
  • Professor Mark Mwandosya........40%
  • Professor Sospeter Muhongo......15%

Ila Hao Wawili Wa Kwanza Magufuli Na Mwandosya Ni Assurance 100% Kwamba Mmoja Wao Ndiyo Atapitishwa Na CCM Na Kati Ya Rtd. Judge Augustine Ramadhan Na Poti Wangu ( Kizanaki ) Tunasema MWETU Wangu Makongoro Nyerere Mmoja Wao Ndiyo Atakuwa Running Mate Wa Hao Majamaa Wawili Hapo Juu ILA Jaji Ramadhani Ana Asilimia 80% Za Kuwa Makamu Wa Rais. Nadhiri Yangu Haijabadilika Na Bado Ni Ile Ile.

 
Kama Leo Unashangaa Rais Agustino Ramadhan Vipi Hushangai Rais Barrack Hussein Obama Wa Marekani? Muwe Mnafikiri Pia Na Nje Ya Box.

Very different mkuu,sometimes tukiwa kwenye kejeri za kisiasa hakuna ku-think out of the box,au ulivyoaminishwa kuwa "home of great thinker"unafikiri kila muda una apply hayo madesa yako ulio nayo kichwani mwako,unatoa mifano ya Obama,je huyo Obama ni rais wa uswahilini kwenu huku bongo?
 
Hapana ni Daudi Augustine Ramadhani ni mwanasheria mwanawe alishawahi kunisimamia kesi yangu ya madini huku Arusha na nikashinda.

Avatar Yako Totally Haiendani Na Sifa Ya Mtu Wa Madini Ila Kama Ungesema Alikusimamia Katika Kesi Ya Ujangili Kungekuwa Na Correlation.
 

Una Sifa Zote Za Wachuma Mboga. Heko Na Dumisha Tu Tamaduni Za Akina Tony Blair Huko Ulaya Ulipo Na Usisahau Kurudi Na Shanga Tu.
 
Una Sifa Zote Za Wachuma Mboga. Heko Na Dumisha Tu Tamaduni Za Akina Tony Blair Huko Ulaya Ulipo Na Usisahau Kurudi Na Shanga Tu.

Dalili za mpuuzi ni yule anaekimbilia matusi badala ya hoja,alaf kama hujui mimi ni mchuma mboga muda sana,hata wewe ukitaka unanila ni pesa yako tu,then jua huwa natembea na vilainishi(mafuta)ili usipate tabu ya kuingiza,so karibu!
 
Dalili za mpuuzi ni yule anaekimbilia matusi badala ya hoja,alaf kama hujui mimi ni mchuma mboga muda sana,hata wewe ukitaka unanila ni pesa yako tu,then jua huwa natembea na vilainishi(mafuta)ili usipate tabu ya kuingiza,so karibu!

Umeshabadilisha Pampers Zako?
 

pamoja na yote hayo tukapige kura zetu kwanzs kisha tuhakikishe zinalindwa. hayo maneno yako yakizidi yatasababisha wananchi wapenda mageuzi wakate tamaa na kubaki majumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…