Augustino Ramadhani: Chaguo la system


Zanzibar wenyewe wamesema hawamtambui mchungaji Ramadhani na hawamuungi mkono.
 

Wapi Lowassa... mutu inayoagiza mvua kutoka Thailand...
 

Tanzania hatuhitaji vishindo bali tunahitaji mfumo mpya ambao sio ccm kwasababu ccm yote imeoza.
 
rais wa tanzania mzanzibar
rais wa zanzibar mzanzibar

kweli!! ebu lione hili ccm

Haya ndo mambo ya kulazimisha serikali 2, zikiwa 3 hii conflict haipo. Maana Zanzibar kutakua na rais, Tanganyika atakuwepo na yule wa muungano (Tanzania) atatoka pande yoyote kulingana na matakwa ya wakati huo.
 
Ktk dini hilo lipo. History imeandika hivyo. But hili la zamu litakuwa halina mantiki kipindi. Muhimu tuangalie population na umuhimu wa Tanganyika ktk Muungano wa CCM.
 
Ktk dini hilo lipo. History imeandika hivyo. But hili la zamu litakuwa halina mantiki kipindi. Muhimu tuangalie population na umuhimu wa Tanganyika ktk Muungano wa CCM.
Huyu mleta mada anaota.
 
Mh Red CJ hakujiandaa kuomba nafac yeyote ya Uongozi.
Uongozi wa kuchaguliwa ni maandalizi yenye ushawishi kutoka nafsin. Tukumbuke 1985 - 1990 Mh Late Znz Pres. Abdulwakili alipokuwa Rais wa Znz kipindi kile cha siasa za visiwan kuwa na ushindani wa makundi... Je aliweza kuiongoza Znz kw mategemeo ya wengi?
Labda pawepo na agenda ya kuja kuachia ngazi baada ya muda, kw sababu maalum. Mh VP yule anaetakiwa achukue nchi.
Haifikiriki Red CJ atie nia ghafla ktk kipindi cha mvutano wa makundi ndani ya CCM kipindi hiki cha kuelekea gen election 2015.
 

Kula TANO!

cc. Ritz1
 
Mtazamo wangu mimi naona prof muhongo angefaa zaidi, kwa sababu zifuatazo,
1) haogopi mtu ana maamuzi magumu na amri.
2) Amekaa serikalin miaka miwili tu aliyoyafanya kila mtu anayakubali ukilinganisha na waliokaa rangi miaka ya sabini. pia hawa wengine ambao wapo mwaka leo.
3) Umri unamruhusu ukilinganisha na hawa vijana je miaka kumi ikiisha watafanya kazi gani? ndy yaleyale unakutana na raisi mstaafu disco!!
4) Si rahisi kudanganywa anajua vitu vingi na anazijua nchi zote africa.
- ukinipinga toa na ushahidi wa maandishi.
 

Mkuu na wewe umeliona hilo hii dhambi ya ubaguzi haitatubakiza salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…