Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali?
Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo Kigamboni wanapomshikilia, akiongeza kuwa wakimhamisha, watakiona cha mtema kuni.
Augustino anasema maagizo aliyotoa ni mdogo wake arudishwe kwa mama yake na sio vinginevyo. Wakishupaza shingo basi "Atawahamisha" wao kwanza!