Ni waziri pekee aliyehamua kuweka rehani uwazi wake kwa kukiuka kanuni ya collective responsibility huku akijua wazi kitakachofuata....
Nendeni mkajifunze kiswahili upya jamani lol, hamua=amua, hacha=acha, hogopa=ogopa.......mko wengi na mnakera sana.
Nendeni mkajifunze kiswahili upya jamani lol, hamua=amua, hacha=acha, hogopa=ogopa.......mko wengi na mnakera sana.
Ni mtu pekee aliyeweka mapipa ya lami kule kilema akiwa na lengo la kujenga barabara
japo hakufanikiwa baada ya serikali kumtimua unaibu waziri, hivyo mshiko ukawa kidogo.
amewahi kuwa mbunge wa moshi vijijini, Temeke na sasa Vunjo ..... na amewahi kujiuzulu katika nyadhifa yake katika dhana ya uwajibikaji
ingawa kwa sasa uwezo wake upo katika stage ya "standstill"
Mhaya huyo, msamehe maana hata akiwa Prof. ataendelea kuvurunda hivyo hivyo!Nendeni mkajifunze kiswahili upya jamani lol, hamua=amua, hacha=acha, hogopa=ogopa.......mko wengi na mnakera sana.
LAT hapo kwenye red sikumbuki alipatakujiuzulu wadhifa gani.
Kwenye blue umepiga chini ya mkanda kabisa na maumivu yake huwa makali sana.