Augustino Mrema Ajadili Amani Mkoani Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Augustino Mrema Ajadili Amani Mkoani Morogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shomari, Apr 24, 2011.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Written by haki | // 0 comments

  Email This
  BlogThis!
  Share to Twitter
  Share to Facebook

  Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro. Picha na John Nditi
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HIlo jina du!..ni vema kama wangetafuta jina lingine ila hili walilochagua litawafanya watu wawaogope.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii taasisi inahusika na nyanja gani .....?
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  "Alshabaab Islamic Daawah"du hilo jina lenyewe mpaka hapo nimeshapatwa na wasiwasi nalo
   
 5. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kikombe cha babu wa Loliondo kimemuongezea nguvu!! Kwani amani imefanya nini mpaka wai-jadili?
   
 6. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kudadeki.....

  kama somaliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
Loading...