Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,122
- 4,383
🤣🤣🤣🤣 Mimi nikianza savings huwa naishia njiani yani kusave ni mtihaniNdo unaachiwa leo na mama Rose unakumbuka saving?
Ponda mali kufa kwaja🤣🤣🤣🤣 Mimi nikianza savings huwa naishia njiani ya kusave ni mtihani
Miaka inaendaPonda mali kufa kwaja
Karibu mkuu humu updates zitakuwa kila siku labda itokee dharura tu!I am in...
Siku tatu za mwanzo mwezi wa naneAll the Best
Safi sanaSiku
Siku tatu za mwanzo mwezi wa nane
View attachment 3430738
Uzi umekosa muamko nitakuwa naleta updates kwa wiki
Hizi ndo thread sasa za kukutana nazo asubuhi, thread inashtua akili. 🤝Kusave hela ni changamoto sana. Ili ufanikiwe inabidi ufanye kila siku ili iwe tabia hata kama ni kidogo usidharau just save.Mwezi wa nane unakaribia wale wakusave hela huu uzi ni kwa ajili ya motivation.. Fanya kwa uwezo wako .. wale wa kusave daily join me! Hii ni maalumu kwa tunaofanya biashara kwa kuwa tuna kipato cha kupanda na kushuka..Nitakuwa naleta updates hapa kila siku.
Fainali Dizemba
Kila la heri!
Wiki mbali, challenge inatakiwa kua na updates za jioni kila siku mida ya kufunga hesabu.....sahivi ndo tunatafuta jioni hesabuSiku
Siku tatu za mwanzo mwezi wa nane
View attachment 3430738
Uzi umekosa muamko nitakuwa naleta updates kwa wiki
HahahaHizi ndo thread sasa za kukutana nazo asubuhi, thread inashtua akili. 🤝
sio asubuhi asubuhi "nimeipiga hadi kakataa tena huku anasema nnalo likubwa kubaaaf"
Upo wapii kwani?Hizi ndo thread sasa za kukutana nazo asubuhi, thread inashtua akili. 🤝
sio asubuhi asubuhi "nimeipiga hadi kakataa tena huku anasema nnalo likubwa kubaaaf"
Kosa ni ku save nyingi ukifika njiani unaanza kuitoa kidogo kidogoSiku
Siku tatu za mwanzo mwezi wa nane
View attachment 3430738
Uzi umekosa muamko nitakuwa naleta updates kwa wiki