Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,101
- 4,299
Kusave hela ni changamoto sana. Ili ufanikiwe inabidi ufanye kila siku ili iwe tabia hata kama ni kidogo usidharau just save.Mwezi wa nane unakaribia wale wakusave hela huu uzi ni kwa ajili ya motivation.. Fanya kwa uwezo wako .. wale wa kusave daily join me! Hii ni maalumu kwa tunaofanya biashara kwa kuwa tuna kipato cha kupanda na kushuka..Nitakuwa naleta updates hapa kila siku.
Fainali Dizemba
Kila la heri!
Fainali Dizemba
Kila la heri!