Audio ya wimbo wa Usia wa Baba

Kuna wimbo unaitwa Usia wa Baba ,umeimbwa na Seif Kisauji naomba mwenye audio yake tafadhali.
asanteni sana
"Wanangu wote njooni, kaaeni chini niwaeleze, maisha ya sasa ni magumu,tofauti na ya zamaniiii!

Wakati wa ujana wangu Mimi baba yenuuuuuu, shati dukani shilingi sita unapata kwa hivi sasa shilingi sita hata soda hupatiiii!...", by Anko Maalum Gurumo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…