kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Asante sana mkuu .Naisubiria kwa hamu sana.Ninayo nitaiweka nikitulia kwenye laptop.
Nna buku!Kwani we umejipangapangaje?
Si unaona hapa nnavyoorodhesha!Unaandika?
Una speed sana ya ku_comment, lkn unaruhusiwa kurekebisha pia, kama hivi;Ninayo nitaiweka nikitulia kwenye laptop
Una speed sana ya ku_comment, lkn unaruhusiwa kurekebisha pia, kama hivi;
Ninayo kwenye laptop, nikitulia nitaiweka