Audio Video Adverts

Charlie One

Member
Apr 8, 2011
97
125
Hi.
ninatengeneza Matangazo ya redio/audio na pia ya Video/TV kwa gharama nafuu. tangazo linaweza kuwa la biashara yako, bidhaa, huduma au ofisi yako. kwa gharama nafuu mno. haijalishi upo wapi nchini, tutakuletea popote pale ulipo. nipigie kwa namba 0783384444.
Gharama ya Tangazo la audio linaanzia laki moja, na la video linaanzia laki mbili na kuendelea.kadri ubora utakaouhitaji zaidi ndivyo gharama za uzalishaji zitakavyoongezeka.
ninao watangazaji mbalimbali, wa kike na wa kiume. na kama utahitaji watu maarufu utapata promo la bure katika mitandao yao ya kijamii.
karibuni sana.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom