Audio Njia Panda "Uponjaji" wa Loliondo pt. II | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Audio Njia Panda "Uponjaji" wa Loliondo pt. II

Discussion in 'JF Doctor' started by X-PASTER, Apr 15, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Audio Njia Panda "Uponjaji" wa Loliondo pt. II

  Audio iliyopachikwa hapo ni ya kipindi cha pili cha Njia Panda ambacho ni mwendelezo wa "Uponyaji wa Loliondo" kilichorushwa na redio Clouds FM Jumapili ya tarehe 10 Aprili 2011.

  Katika kipindi hiki (Gonga kitufe iki >>[]), utayasikia majibu baada ya kupimwa ili kuthibitisha kauli ya dada aliyehojiwa katika kipindi kilichotangulia na kutamka kuwa anaamini amepona baada ya kunywa dawa kwa Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ambilikile Masapila huko Loliondo kijijini Samunge.

  Pia utayasikia majadiliano baina ya wataalamu wa sekta mbalimbali walioalikwa studioni ili kuzungumzia sekta husika zilizoguswa na 'uponyaji' wa dawa ya Mch. Masapile.

  Mwendesha kipindi ni Dk. Isaac Maro.

  Bofya kifute cha play hapo upate kusikiliza. Audio zipo mbili ili kutoa uchaguzi zaidi ikiwa moja italeta usumbufu wa kutokusikika. Ikiwa huwezi kusikiliza, tafadhali bofya HAPAkujipakulia audio hiyo.

  Kusikiliza Gonga Hapa

  Kupakua Gonga Hapa
   
Loading...