Masumbwe The Boss
Member
- Feb 23, 2021
- 19
- 33
Naam Naamini hapa kuna wajuvi wa mambo mengi mazuri, nilitaka kufaham ni njia gani nzuri na rahisi zaidi inayoweza kuniwezesha ku transfer wirelessTransmission Audio&Video kutoka kwenye Decoder kwenda kwenye TV zaidi ya moja.
Au wakati wakufanya streaming kwa kutumia Video camera itakayoweza ku peleka sauti na picha kwenye tv mbili nakuendelea umbali wa kama miter 40.
Au wakati wakufanya streaming kwa kutumia Video camera itakayoweza ku peleka sauti na picha kwenye tv mbili nakuendelea umbali wa kama miter 40.