News Alert: Audi TT 2011

Choro nondo

Member
May 23, 2018
15
6
Nauliza jamani izi GARI spea zake zinapatikana nnchini?pia vipi ulaji wake Wa mafuta ?INA cc 1980 pia I think ni sport car..Nilichoipendea hii GARI muhundo,seats Na nguvu yake ya engine plus total speed ..kabla sijanunua ningeomba ushaur is it suitable for our roads plans kuhamia Arusha mjini so itakuwa dar to Arusha once per month Na mpango Wa kuinvest Mwanza biashara Na mtwala so itakuwa GARI nzuri Na imara kwa iyo misafara yangu?Na spea zake zipo?
 
If its your first car dont buy it. Ila kama una gari nyingine na utaitumia hii kama gari ya ziada, then you can buy it... Hii ni gari ya kulia bata. Sio gari ya masafa wala ya kuendea shamba.
 
Back
Top Bottom