BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,246
Waliwahi kamata waislamu wanasafirisha nyama ya ng'ombe. Wakawatafutia mkojo wa ng'ombe kama chai na mavi ya ng'ombe kama mkate. jamaa wakakaa wanatafuna. Ni mambo ya kipuuzi sana.
Washenzi sana hawa watu....