Kanda maalum iko singida au mbeya???Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu!
Tunakwama wapi wakristo
Yani memejua ni dereva tax wa mwanza..mkajua alikodiwa toka mwanza hadi sengerema..mkajua ni mkazi wa kamachumu..ila jina lake halifahamiki anyway apumzike kwa amani.
Kumbukeni uchaguzi wa kijani ngazi za wajumbe unaaza mwezi ujao.
WanaSiasa na wafanya biashara ndio wateja wa kubwa wa harakati za waganga wa kienyeji.
#MaendeleoHayanaChama
Mbona wameshadakwa! Na mganga wa kienyeji aliyeshiriki hili tukio ameshadakwa pamoja na mke wake! Polisi wakiamua kufanya kazi huwa hawana masikhara! Wanakosea tu kuvaa manguo ya kijani!Mapolisi badala ya kulinda watu yanahangaika kutengeneza kesi za ugaidi