Auawa, akatwa korodani na koromeo na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema

Humu naona lawama za Wakaskazini na Wakanda ya ziwa dhidi ya Awamu ya sita......tuache imani za kishirikina na uasherati/uzinzi. Tabia au mienendo mengine ni hatarishi kwetu. R.I.P dereva taxi
 
Kwanini hi mikoa yenye wakristo aslimia kubwa, mahuaji yanakuwa wengi Sana,tofauti na mikoa ya pwani? au yenye asilimia kubwa ya Waislamu? Wakati siku zote tunaambiwa Waislamu Ni wakorofi sana na Wana roho chafu!

Tunakwama wapi wakristo
Kanda maalum iko singida au mbeya???
 
Siku moja nilikua natoka Kahama - Masumbwe( kwa wanaopafahamu).Nikapata private .Kufika sehemu flani wakaingia jamaa wawili wakaniweka mtu Kati .Mmoja alikua na kamba ya Manila.Machale yakanicheza nikawaambia nishusheni Sina hela jamaa wakakomaa wakadai watanipeleka bure.Kosa walilofanya ni kusimama kwa matrafiki kelele nilizopiga wao wenyewe walinishusha.Jioni barabara hiyo hiyo Kuna mtu alikutwa amenyongwa.Sasa sijui lilikua wenge au siku ilikua haijafika.Yote kwa yote apumzike mahali pema peponi dereva.
 
Yani memejua ni dereva tax wa mwanza..mkajua alikodiwa toka mwanza hadi sengerema..mkajua ni mkazi wa kamachumu..ila jina lake halifahamiki anyway apumzike kwa amani.

Kumbukeni uchaguzi wa kijani ngazi za wajumbe unaaza mwezi ujao.

WanaSiasa na wafanya biashara ndio wateja wa kubwa wa harakati za waganga wa kienyeji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom