Aua watu 26 kwa kufuata sheria. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aua watu 26 kwa kufuata sheria.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkubwa Jalala, Oct 13, 2012.

 1. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna dereva mmoja liwaganga watu 26 na kuwasababishia kifo papohapo.
  Polisi wa usalama barabarani walipo muhoji ilikuwa kama ifuatavyo...
  Polisi: Ilikuaje ukawagonga watu 26.
  Dereva: Kulia kwangu kulikua na mtu m1 na kushoto watu 25. je ungekuwa
  wewe afande ungefanyaje?
  Polisi: Ningemgonga m1 nakuokoa maisha ya watu 26.
  Dereva: Enhee namimi nilitaka kumgonga mtu m1 wa kulia mara akakimbilia
  kushoto kwa watu 25 alifikiri sijamuona nikamfuata hukohuko.
  Afande: Duuuuh!!!!!!!!!!????????????
   
 2. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  duuuuuuuu!.......
   
 3. Bratherkaka

  Bratherkaka Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kamalizaaa
   
 4. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninahisi hata trafc angekuwepo nae angemuunganishia.
   
 5. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Huyo Mtu hakuwa Kamuhanda kweli.. Watu wanahasira nae sana
   
 6. l

  lito saint Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chezea mkuria!
   
 7. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Duh, kwa vyovyote atakuwa alimchukulia demu wake...
   
 8. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahaha
   
 9. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyo dereva nahisi nshamwonaga mirembe huyo
   
Loading...