AU yaelezea wasiwasi wa ongezeko la ugaidi Afrika

AU yaelezea wasiwasi wa ongezeko la ugaidi Afrika

FikraPevu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2010
Posts
304
Reaction score
236
images-9.jpg


MWENYEKITI wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini Zuma, ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka migogoro na mashambulizi ya kigaidi barani Afrika na kutoa mwito wa kufanyika jitihada zaidi kukabiliana na hali hiyo.


Akizungumza mjini Malabo, Equatorial Guinea, hapo jana Juni 24, 2014 kwenye kikao cha Baraza Kuu la AU, Zuma, amelaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni katika nchi za Nigeria, Kenya na Libya akisema kuwa, vita dhidi ya ugaidi vinapaswa kukemewa ili kuokoa maisha ya watu wanaokufa pasipo kuwa na hatia ya aina yeyote.


Habari zaidi, soma=> AU yaelezea wasiwasi wa ongezeko la ugaidi Afrika
 
Back
Top Bottom