Au sijaelewa??

utafiti unajua wazungu ni vichaa waliopitiliza basi tu hatujui
 
Last edited by a moderator:
Hapo, anatangaza hilo gari kukodiwa kwa masaa au la huyo mwanamama anajitangaza kuwa yeye ni mfanyakazi wa ndani na hufanya kazi/hulipwa kwa masaa. Si kila kitu ni biashara ya 6X6.
 
kwel biashara matangazo ha ha hah akae ndan atapata wap mauzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…