Wewe ni me au ke?
Btw weye umetoa au wasubiri kupokea tu kama golikipa?
Braza,
hata golikipa huwa anatoa pasi. huyu labda utaje shimo la big need. manake halitoagi, linapokea tu...
Kwema lakini?
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani
usikaekae sana nyuma....
haya ndio kilichobaki hicho..
na mie pia mgeni ka wewe chukia mji wa mau...Habari zenu wana MMU
Mm nina nina moja tu yaan kuna wadau wametoa maua wengine zawadi watu wapeane cha kushangaza kama maua watu wamegawana yote yameisha wengine wamepata zaid ya mawili
Mm had sasa shjapata hata UA JEUSI.
sasa najiuliza au sababu ya ugeni jamani
Habari zenu wana MMU

Mimi ni ke