AU recognizes NTC in Libya! Tanzania kufuata mkumbo?

kutojiamini kwetu kimataifa kuna-compromise kwenye issues za misimamo na maamuzi yetu..........ndio maana I like Bob Mugabe na hasa linapokuja suala la msimamo na maamuzi..............ma-risk analysts wetu naona wamelala...........
 
AU kuitambua NTC hailazimishi indivudual countries kuzitambua hawa NTC

that's exactly my point. Sisi tulipokataa kuwatambua NTC hatukusema kwa sababu UN haiwatambui au kwa sababu AU haiwatambui. Tulisema ni kwa sababu siyoserikali halali ambayo haijaapishwa na haijaundwa kwa ridhaa ya Walibya. Sasa as long as NTC inabakia ilivyo sisi hatupaswi kubadilika. Maana yake ni kuwa tutakuwa tumechukua msimamo on principle siyo kwa kufuata mkumbo. Membe na JK wakichukua msimamo huu hata mimi nitawaunga mkono kwa sababu watakuwa wamechukua msimamo ambao unaendana na maono yetu (ya serikali). Sasa tukikubali kuwatambua NTC kabla ya mabadiliko ya kidemokrasia ambayo tuliyataka hadi kulazimisha kushushwa bendera ya new Libya pale ubalozini kwao Dar tutakuwa tunajikanyaga wenyewe tu. Unless of course there would be a new and higher principle articulated by the administration.
 
There is a joke going around that AU leaders have been promised their 10% by NTC! Ama kweli rushwa ni adui wa haki.
 
Kwa chombo kikubwa kama AU kukosa common standing ni hatar kwa waafrika maana 2taendelea kuonewa had siku ya mwisho
 
sasa libya kuonesha kuwa haijali itajiondoa na AU na kujiunga zaidi na Arab League! This is silly.. siwezi kushangaa Tanzania itatangaza kuitambua NTC wakati Kikwete na Membe wakiwa Marekani! You wait and see..

Mimi nitafurahi sana kama Libya ikijitoa AU. Nadhani Libya ndiyo mchangiaji mkubwa kabisa wa Budget ya AU.

Ikijitoa itakuwa fundisho kwa viongozi wa Afrika, hasa hawa kama Zim na TZ, wanaofikiri kuwa muungano huu ni wa kulindana viongozi badala ya kuwa kwa ajili ya kukuza mahusiano ya watu-kwa-watu wa haya mataifa ya Afrika.
 
Nyerere tu ndo aliweza kuifanya tz isimame kivyake hasa vita ya uganda na mabepari wa nje. Hawa maraisi wa pwani ni kahawa tu
 
Anayelala chumbani kwa mama na asubuhi ukamwona anatoka na taulo na mswaki ndiye baba huyo. Tulishindwa kulaani mashambulizi yale ya NATO tangu mwanzo kwa sasa tusipoteze muda. Gadafi ni historia sasa. Ile hoteli yetu ya Bahari Beach aloonunua inalindwa utadhani Gadafi kahifadhiwa mle!
 
Binafsi kwa kweli nasubiria kusikia msimamo wa Tanzania ukoje. Ila unaweza kuwa "na sisi tunaitambua NTC kwa sababu Umoja wa Mataifa unaitambua na AU inaitambua sasa sisi ni nani tusiitambue?"..
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa!

AU, S.Africa recognise Libya's NTC

ReutersBy Ed Cropley | Reuters

JOHANNESBURG (Reuters) - The African Union (AU) recognised the National Transitional Council (NTC) as Libya's de facto government on Tuesday, removing another piece of diplomatic support for ousted leader Muammar Gaddafi.

The pan-African body, which has frequently been criticised for its ponderous reaction to events on its doorstep, said in a statement it was ready to support the NTC in its efforts to build an inclusive government.

It also urged the NTC to protect African migrant workers following reports of black Africans being targeted by militia units hunting down mercenaries loyal to Gaddafi.

South Africa, the continent's pre-eminent economic power which has a major say in AU policy, said on Tuesday it would also recognise the NTC, ending a long-standing relationship with the ousted leader.

"The South African government, hereby announces that it recognizes the NTC as the representative of the Libyan people as they form an all-inclusive transitional government that will occupy the Libyan seat at the African Union," the International Relations and Cooperation Department said in a statement.

South African support for Gaddafi, who helped build the AU, had its roots in a long-standing relationship between the two countries based on Libya's backing for the African National Congress in its struggle against white-minority apartheid rule.

South African President Jacob Zuma has led AU delegations trying to broker a peace deal for Libya. Zuma has criticised the European Union and NATO for using force to bring about change in Libya and has called for Gaddafi's officials to be a part of a transitional government.

Most European nations, the United States and Nigeria recognised the NTC from August 22, while China officially acknowledged the Benghazi-based group as Libya's "ruling authority" on September 12.

The AU's switch is likely to bring a modicum of pressure to bear on leaders such as Zimbabwe's Robert Mugabe, who expelled Libya's ambassador at the end of August after the envoy switched allegiance from Gaddafi to the NTC.

(Additional reporting by Tiisetso Motsoeneng; Editing by Jon Herskovitz; and Louise Ireland)

Yahoo/Reuters

Serikali ya Tanzania itabidi nayo ifuate matakwa ya AU!

they are too late to recognise them, they have proved how far undemcratic they're
 
Anayelala chumbani kwa mama na asubuhi ukamwona anatoka na taulo na mswaki ndiye baba huyo. Tulishindwa kulaani mashambulizi yale ya NATO tangu mwanzo kwa sasa tusipoteze muda. Gadafi ni historia sasa. Ile hoteli yetu ya Bahari Beach aloonunua inalindwa utadhani Gadafi kahifadhiwa mle!

inalindwa na askari wa libya-NTC au wa kibongo?
 
Mimi nitafurahi sana kama Libya ikijitoa AU. Nadhani Libya ndiyo mchangiaji mkubwa kabisa wa Budget ya AU.

Ikijitoa itakuwa fundisho kwa viongozi wa Afrika, hasa hawa kama Zim na TZ, wanaofikiri kuwa muungano huu ni wa kulindana viongozi badala ya kuwa kwa ajili ya kukuza mahusiano ya watu-kwa-watu wa haya mataifa ya Afrika.

na maendeleo yasiyojali maendeleo na mahusiano mazuri kati ya mtu na mtu, hayo yatakuwa si maendeleo, bali suala moja tu katika dhana nzima ya maendeleo
 
that's exactly my point. Sisi tulipokataa kuwatambua NTC hatukusema kwa sababu UN haiwatambui au kwa sababu AU haiwatambui. Tulisema ni kwa sababu siyoserikali halali ambayo haijaapishwa na haijaundwa kwa ridhaa ya Walibya. Sasa as long as NTC inabakia ilivyo sisi hatupaswi kubadilika. Maana yake ni kuwa tutakuwa tumechukua msimamo on principle siyo kwa kufuata mkumbo. Membe na JK wakichukua msimamo huu hata mimi nitawaunga mkono kwa sababu watakuwa wamechukua msimamo ambao unaendana na maono yetu (ya serikali). Sasa tukikubali kuwatambua NTC kabla ya mabadiliko ya kidemokrasia ambayo tuliyataka hadi kulazimisha kushushwa bendera ya new Libya pale ubalozini kwao Dar tutakuwa tunajikanyaga wenyewe tu. Unless of course there would be a new and higher principle articulated by the administration.

Mkuu umesahua ukigeugeu wa wanasiasa wetu ?
 
Binafsi kwa kweli nasubiria kusikia msimamo wa Tanzania ukoje. Ila unaweza kuwa "na sisi tunaitambua NTC kwa sababu Umoja wa Mataifa unaitambua na AU inaitambua sasa sisi ni nani tusiitambue?"..
Mwanakijiji,
Nasi tumo AU na UN. Membe alikurupuka tu siku ile. Angesubiri kauli hizi za wakubwa.
 
Mwanakijiji,
Nasi tumo AU na UN. Membe alikurupuka tu siku ile. Angesubiri kauli hizi za wakubwa.
Hivi sasa bendera ya waasi inapepea makao makuu UN na karibuni itapepea AU. Serikali imeumbuka, huo ndo ukweli!
 
Hivi sasa bendera ya waasi inapepea makao makuu UN na karibuni itapepea AU. Serikali imeumbuka, huo ndo ukweli!
Haijaumbuka. Mambo ya Nje kwa sasa panahitaji mtu kama Augustine Mahiga. Membe ana makandokando mengi.
 
Back
Top Bottom