Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Natoaa wito kwa Wanazuoni,,,wasomi na wanaharakati ndani na nche ya Tanzania kwa kutambua mchango wa Mwl hakika anastahili Phd ya heshima.

kwa lipi fafanua, au kwa mahubiri yake?
 
Sikupingi hoja yako, ila nataka maelezo. Is a man realistics or idealists?
 
I need that book where can I get comrade?

Jaribu kwenda kwenye bookshop zanazomilikowa na makanisa hasa kkkt au kwenye seminar zake utavipata
Arushaa...ninda kimahama bookshop
Kilimanjaro nendapale Christian bookshop...
Kwa dar es salaam.....bado sijajua vinapatikana wapi....
 
Ally Kombo chezea wengine sio Mwakasege nakupa tahadhari la sivyo muda kama huu mwakani utakuwa mchungaji.Waulize waliomletea vurugu Mwanza mashekhe na waganga sasa hivi ni wachungaji.Wewe kama unataka kuendelea na ushekhe achana na mtumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom