Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

mm nadhani Ambilikile Masapile (babu wa loliondo) ndiye anayestahili Phd katika category ya degree without school. Wengi watanishangaa lakn i stand to be correct!
 
Ally Kombo chezea wengine sio Mwakasege nakupa tahadhari la sivyo muda kama huu mwakani utakuwa mchungaji.Waulize waliomletea vurugu Mwanza mashekhe na waganga sasa hivi ni wachungaji.Wewe kama unataka kuendelea na ushekhe achana na mtumishi wa Mungu.

Huyo ni tapeli tu kama Mwingira au Kakobe, Wagalatia mmezoea kuabudu watu ndio maana mlidanganya ulimwengu kupitia babu wa Loliondo
 
Ally Kombo chezea wengine sio Mwakasege nakupa tahadhari la sivyo muda kama huu mwakani utakuwa mchungaji.Waulize waliomletea vurugu Mwanza mashekhe na waganga sasa hivi ni wachungaji.Wewe kama unataka kuendelea na ushekhe achana na mtumishi wa Mungu.
Hana tofauti na Mastahi yule anaye piga watu vibao na vifuti
 
Naunga mkono hoja..anastahili aisee na Mwenyezi Mungu akubariki mtoa hoja hii...ndio maana kila nikisikiliza mafundisho ya wanaojiiita manabiii nazima Radio, ila Dr . Mwakasege Mwenyezi Mungu ambariki sana
 
Msipende vya kupewapewa kama anataka phd aingie class apige kitabu, izo degree za kupewa sio nzuri wala hazibadilishi heshima ya mtu. Angalia kina Kikwete wamepewa ngapi na bado anaonekana wa kawaida tu na baadhi ya watu wakigoma kumwita profesa. Yesu alifundisha sana lakini hakuomba degree na bado heshima yake ni kubwa, Mwl. Nyerere hadi anaongoza taifa hili kwa uadilifu mkubwa hadi leo anaheshimika na kila mtu bado aliitwa Mwalimu. Mi nadhani Mchungaji Mwakasege inafaa sana kuliko Profesa Mwakasege unless atakaposoma na kuwa prof. ndipo title yake itabadilika coz tutakuwa hatuna jinsi kama tuwaitavyo kina Prof. Lipumba, Prof. Mwandosya na ni maprofesa kweli
 
Natoaa wito kwa Wanazuoni, Wasomi na Wanaharakati ndani na nje ya Tanzania kwa kutambua mchango wa Mwl, hakika anastahili Ph.D ya heshima.
Dr. christopher Mwakasege, docta ya heshima haijaanza tanzania,hata obama anazo za kutosha,kina mugabe,zuma,bill gates,na wengi wanazo,dr moses kulola. kwahiyo vyuo husika vikichunguza na kuona mchango wake waweza mpa.tunaomba waangalie mchango wake kwa umakini.ni heshima pia. huyu mwalimu mwakasege anakiawa pekee ,na mafundisho yake anaongozwa na nguvu ya mungu. yupo nafasi ya juu zaidi ya wengi wao wanaojiita manabi sikuhizi, maana hawana la ziada la kuonesha kama ni nabii.
 
Naunga mkono hoja. Anastahili kabisa kabisa
 
Msipende vya kupewapewa kama anataka phd aingie class apige kitabu, izo degree za kupewa sio nzuri wala hazibadilishi heshima ya mtu. Angalia kina Kikwete wamepewa ngapi na bado anaonekana wa kawaida tu na baadhi ya watu wakigoma kumwita profesa. Yesu alifundisha sana lakini hakuomba degree na bado heshima yake ni kubwa, Mwl. Nyerere hadi anaongoza taifa hili kwa uadilifu mkubwa hadi leo anaheshimika na kila mtu bado aliitwa Mwalimu. Mi nadhani Mchungaji Mwakasege inafaa sana kuliko Profesa Mwakasege unless atakaposoma na kuwa prof. ndipo title yake itabadilika coz tutakuwa hatuna jinsi kama tuwaitavyo kina Prof. Lipumba, Prof. Mwandosya na ni maprofesa kweli

uko sawa mkuu, ila naomba nikusahihishe, sio Mwakasege Sio Mchungaji Ni Mwalimu(Mwinjilisti).
 
naunga mkono hoja.AJABU watu wa hovyo hovyo ndio wenye kutunukiwa.
 
Mkutano wake wa mwaka jana morogoro ilikuwa kipindi cha mvua ile siku ya 1 tu Jamaa akaomba samahani kwa wakazi wa moro wanaohitaji mvua maana Mungu anahitaji watu waje ktk mkutano hivyo alipiga maombi ya kufunga mvua na ndivyo ilivokuwa kwa siku zote za mkutano hakukuwa na mvua wala manyunyu. Siku anamaliza mkutano akashukuru na kutangaza "kesho tukimaliza kukusanya virago vyetu tutaruhusu mvua iendelee" lahaula! kama kawa kesho yake mida ya alasiri mvua ikarejea. I was shocked.
 
Mwaka kesho utakuwa mchungaji naona umeshika na majina ya watu wa Mungu.Na mimi natamka damu ya yesu ikuokoe na uwe mtumishi mwema.
 
Back
Top Bottom