Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Atunukiwe PhD Mwl. Christopher Mwakasege

Natoaa wito kwa Wanazuoni, Wasomi na Wanaharakati ndani na nje ya Tanzania kwa kutambua mchango wa Mwl, hakika anastahili Ph.D ya heshima.

Kabisa kabisaaa kweli tupu

Hizi phd za kibinadamu ni za kinafiki sana tunashuhudia hata mafisadi wakipewa p.h.d za bure tu Mwl Mwakasege MUNGU alishamtunuku iliyotukuka toka angali mdogo na ndio maana yupo hapo alipo kwa msaada wa MUNGU.
 
Huyo ni tapeli tu kama Mwingira au Kakobe, Wagalatia mmezoea kuabudu watu ndio maana mlidanganya ulimwengu kupitia babu wa Loliondo

Tuwe na tabia ya kubali wale tunaowaona.
Kama huwezi kumjaji mtu unayeweza ukamfuata mpaka ofisini na kumuuliza maswali na kuambia wazi hata kama ungefanikiwa kuishi enzi za Yesu au mtume Muhammad usingewakubali na ungekuwa ni kati ya kundi kubwa lililokuwa linawakejeli na kuwaita wachawi na waliochanganyikiwa.

Tusisubiri vizazi vijavyo ndivyo vitamke mema ya watu tunaoishi nao.
Tutakuwa hatuna tofauti na wale walioishi na manabii kwa kuwatukana na kusema mabaya kwao.Leo kwa kusoma historia tu tunajofanya tumewaelewa saaaana wale manabii ambao hata nafasi ya kuwaona hatukuipata.

Sina maana kuwa tusiwakubali manabii wa Zamani kwa kazi zao la hasha lakini nashauri tu kuwa hawa watu wa leo wanaotumia muda wao kuhubiri na kufundisha maneno ya mwenyezi Mungu tusiwakejeli kama walivyofanya watu wa zama hizo kwa kudhani kuwa walikua sahihi kwa kuwakejeli mitume na manabii.
 
.........ni Mgalatia peke yake ndiye anayeweza kukaa na akatukea mtu katika karne hii akamwambia 'mimi ni Mtume na Nabii' !
Kwani wao hawajui maana ya Mtume na Nabii !....:shocked: 1000 digits ...ni kama alivyodai Babu wa Loliondo kaongea na mungu !
 
Last edited by a moderator:
Mwakasege hahitaji sifa za kibinadamu inatosha Mungu akimwuinua. Tusifanye makosa kutaka kuharibu huduma ya mana. Nampenda na mafundisho yake yametufungua na kutujenga sana ni vema tukamwombea aweze kusonga mbele ktk kuwafungua waTZ. Kama Mungu ataona umuhimu wa PhD ataileta kwa utukufu wake na kwa wakati aliokusudia
 
.........ni Mgalatia peke yake ndiye anayeweza kukaa na akatukea mtu katika karne hii akamwambia 'mimi ni Mtume na Nabii' !
Kwani wao hawajui maana ya Mtume na Nabii !....:shocked: 1000 digits ...ni kama alivyodai Babu wa Loliondo kaongea na mungu !

Huwezi kumkataa mtu unayemuona leo tena wa nchi yako na lugha yako useme kuwa unamkubali mtu ambaye hujawahi kumuona .Utakua unamkubali tu kwa woga wa kutupwa jehanamu.

Rudia tena kunisoma halafu utapata jibu mwenyewe.

Mwakasege anaitwa mwalimu wa neno la Mungu na hajawahi kuitwa mtume na nabii.

Labda tu unashindwa kujua kua hayo maneno nabii ,mtume sio maneno ya watu wa zamani tu.
Hao watu wapo siku zote mana Mungu siku zote anafanya kazi zake.
Tofauti tu ni ukubwa wa kazi nabii fulani aliyokuja kuifanya.
 
Last edited by a moderator:
Naona sifa tu bila substance, je kuna yeyote anaweza kutushirikisha mafundisho yake na jinsi gani yalivyo ya kipekee
 
Hivi unajua Mwakasege ni nani kwenye medani za uchumi wa kimataifa kwenye world bodies kama worldbank international monetary fund and united nation?

Unamjua Mwakasege ni nani kwenye uchumi wa hii nchi na Africa kiutendaji?

Hahaaa
Watamjulia wapi mkuu!!
Ile mashine nyingine kabisa,sema tu hapendi kujionyesha wala kujikweza
 
Back
Top Bottom